NYOTA wa Yanga, Fei Toto inaelezwa kuwa amepewa ndiga mpya na bosi wa Yanga baada ya kiungo huyo kuonyesha kiwango kikubwa kwenye mchezo wa ...
NYOTA wa Yanga, Fei Toto inaelezwa kuwa amepewa ndiga mpya na bosi wa Yanga baada ya kiungo huyo kuonyesha kiwango kikubwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mbele ya Simba, Julai 3 ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Zawad Mauya.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS