NANI KUFUZU HATUA YA FAINALI KUNAKO LIGI YA UEFA NA EUROPA?
HomeMichezo

NANI KUFUZU HATUA YA FAINALI KUNAKO LIGI YA UEFA NA EUROPA?

Baada ya kutifuana kwenye michezo ya awali, mzunguko wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Uefa na Europa kuendelea wiki hii. Pata s...

Baada ya kutifuana kwenye michezo ya awali, mzunguko wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Uefa na Europa kuendelea wiki hii. Pata shika, nguo kuchanika ndani ya dakika 90.

 

Jumanne hii, Manchester City kuwaalika PSG katika dimba la Etihad Stadium. Pep Guardiola ameshaweka rekodi ya kuifikisha City hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza, matokeo ya 2-1 akiwa ugenini yatamvusha kwenda hatua ya fainali? 

Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.76 kwa City.

Jumatano, Chelsea watawaalika Real Madrid pale Stamford Bridge. Thomas Tuchel alisema katika mahojiano yake ya kwanza baada ya kutua The Blues “Kombe pekee nitakaloweza kupambania msimu huu ni Ligi ya Mabingwa na FA”, kwenye FA amefuzu hatua ya fainali, vipi Ligi ya Mabingwa? Zidane nae anapambania kutetea taji la LaLiga sambamba na kutwaa ubingwa wa Uefa, hapatoshi! Unaweza kuifuata Odds ya 2.30 kwa Chelsea kupitia Meridianbet.

 

Alhamisi hii kutakuwa na vita ya aina yake pale jijini Rome, Italia. AS Roma kuwaalika Manchester United. United ni kama ameshaweka mguu mmoja kwenye fainali baada ya kushinda 6-2 kwenye mchezo wa kwanza, Roma wataweza kupindua matokeo? Hili ni kombe pekee United wanaweza kubeba msimu huu, vita itaanza upya!!

Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.96 kwa United.

 

Arsenal kuwaalika Villareal pale Emirate Stadium. Unai Emery aliwaadhibu vijana wake wa zamani kwa magoli 2-1.

 

 Watakamilisha safari yao ya kuelekea fainali ya Europa msimu huu au Arteta atapindua meza na vijana wake kuchomoa betri? Meridianbet tumekusogezea Odds ya 1.91 kwa Arsenal. Karibu kwenye familia ya mabingwa!



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NANI KUFUZU HATUA YA FAINALI KUNAKO LIGI YA UEFA NA EUROPA?
NANI KUFUZU HATUA YA FAINALI KUNAKO LIGI YA UEFA NA EUROPA?
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj818rV3QGJ0Toaj65T_0M1m1D4vLQ1DOizxV0HxtqKI0jJrMUKghsOpucJI4cXnquGwDub6NCTBWGsZaX5kIP5ZD3QLXCvD2sC7nOvqrFLnHJcM1kgPRyZtVabFUxtIO4RbX1RZMOuwdMV/w640-h360/2021-04-28T205411Z_873475517_UP1EH4S1M28HP_RTRMADP_3_SOCCER-CHAMPIONS-PSG-MCI-REPORT.webp
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj818rV3QGJ0Toaj65T_0M1m1D4vLQ1DOizxV0HxtqKI0jJrMUKghsOpucJI4cXnquGwDub6NCTBWGsZaX5kIP5ZD3QLXCvD2sC7nOvqrFLnHJcM1kgPRyZtVabFUxtIO4RbX1RZMOuwdMV/s72-w640-c-h360/2021-04-28T205411Z_873475517_UP1EH4S1M28HP_RTRMADP_3_SOCCER-CHAMPIONS-PSG-MCI-REPORT.webp
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nani-kufuzu-hatua-ya-fainali-kunako.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/nani-kufuzu-hatua-ya-fainali-kunako.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy