Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, na mgombea urais kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Mama Ann...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, na mgombea urais kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Mama Anna Elisha Mghwira, amefariki dunia leo wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha.
Imeelezwa kuwa Mama Mghwira amefariki dunia leo Julai 22, 2021, majira ya mchana, ambapo taarifa zinadai kwamba wiki moja iliyopita alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Nkoaranga kwa tatizo la kupumua ambapo baadaye hali yake kuwa mbaya alihamishiwa hospitali ya Mount Meru.

Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS