WATANO WA YANGA KUIKOSA COASTAL UNION MKWAKWANI
HomeMichezo

WATANO WA YANGA KUIKOSA COASTAL UNION MKWAKWANI

 IKIWA kesho inatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkwakwani kusaka pointi tatu mbele ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union, Yanga inatarajiwa kukosa h...


 IKIWA kesho inatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkwakwani kusaka pointi tatu mbele ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union, Yanga inatarajiwa kukosa huduma ya nyota wake watano.

Cedric Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa moja ya jambo ambalo limetibua mipango yake ni pamoja na kadi nyekundu ya Carlos Carlinhos raia wa Angola.

Nyota huyo atakosa mchezo wa kesho Machi 4 kwa kuwa alionyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kwa kosa la kumpiga ngumi beki wa Ken Gold, Boniphace Mwanjonde dakika ya 80.

Mbali na huyo pia Saido Ntibanzokiza yupo zake nchini Burundi ambapo alikwenda kwa ajili ya maandalizi ya timu yake ya Taifa ya Burundi baada ya kuitwa.

Nyota huyo ambaye ni ingizo jipya alikuwa tayari ameanza kuingia kwenye mfumo na uwezo wake kwenye mechi dhidi yake dhidi ya Ihefu, Dodoma Jiji na Tanzania Prisons uliweza kuonekana.

Mwingine ni beki wa kati Dickson Job ambaye yeye bado hajawa fiti kwa kuwa anasumbuliwa na majeraha ya nyama za paja licha ya kuanza mazoezi mepesi.

Kiungo Mapinduzi Balama, bado hali yakehaijatengamaa na ameanza naye pia mazoezi mepesi. 

Kipa namba tatu wa Yanga, Ramadhani Kabwili hayupo fiti.

Kaze amesema:"Carlinhos alianza kurejea kwenye ubora wake kwa kuwa alikuwa nje ya uwanja akitibu majeraha sasa amepona anaingia kwenye mtego wa kadi, hamna namna tutatafuta mbadala wake,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WATANO WA YANGA KUIKOSA COASTAL UNION MKWAKWANI
WATANO WA YANGA KUIKOSA COASTAL UNION MKWAKWANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizTGLINUS3SxOwRnrzYvyGxHlxbI_nEt8T6us0fjxx3C95nJ4tpkrbjxE2IEs9R88mVptNc_-FuD9C5tb8MwQ8arXFE7HlpTzGA3igAviwha_Cp690vtWs0Xl65stKMG-e-P80OdHphhDx/w640-h566/ntiba+v+Ihefu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizTGLINUS3SxOwRnrzYvyGxHlxbI_nEt8T6us0fjxx3C95nJ4tpkrbjxE2IEs9R88mVptNc_-FuD9C5tb8MwQ8arXFE7HlpTzGA3igAviwha_Cp690vtWs0Xl65stKMG-e-P80OdHphhDx/s72-w640-c-h566/ntiba+v+Ihefu.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/watano-wa-yanga-kuikosa-coastal-union.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/watano-wa-yanga-kuikosa-coastal-union.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy