NYOTA WA TANO WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC LEO KWA MKAPA
HomeMichezo

NYOTA WA TANO WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC LEO KWA MKAPA

 WAKATI kikosi cha Simba kikitarajiwa kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara leo dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Azam Complex nyota wake watano watak...

KOCHA GUARDIOLA AWATAJA WACHEZAJI ANAOWAHOFIA NDANI YA MAN UNITED
MECKY ALIPATA MUDA WA KUZUNGUMZA NA WACHEZAJI WAKE BAADA YA KUFUKUZWA
SEKESEKE LA MORISSON KUDAIWA KUGOMBANA NA KOCHA LAZUA JAMBO

 WAKATI kikosi cha Simba kikitarajiwa kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara leo dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Azam Complex nyota wake watano watakosekana kwenye mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali.

Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa wachezaji hao ni pamoja na Jonas Mkude ambaye ni kiungo huyu matatizo yake ni suala la nidhamu.

Ibrahim Ajibu huyu naye ni kiungo naye bado anaumwa Malaria.

Miraji Athuman, aliumia kwenye mazoezi hivyo hataweza kucheza leo mbele ya Azam FC.

Bernard Morrison huyu naye ni kiungo yupo zake nchini Ghana kutokana na matatizo ya kifamilia.

Pia yupo Perfect Chikwende ambaye naye ni kiungo yupo zake nchini Zimbabwe kwenye majukumu ya timu ya taifa.

Mchezo wa leo Simba haina cha kupoteza kwa kuwa imeshatwaa ubingwa baada ya kufikisha pointi 79 inakutana na Azam FC iliyo nafasi ya tatu na pointi 64.

Licha ya kutokuwa na cha kupoteza Matola amebainisha kwamba wanahitaji pointi tatu kwenye mchezo wa leo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA WA TANO WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC LEO KWA MKAPA
NYOTA WA TANO WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC LEO KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjedtz_uxlpMrQegzr1F90Oe524O1Uf0Ov2g4z9r2FKEptrsXolvkauo7HwWZosXuBxk5FtbfxeroothEnUIYXOvrGlJnYgWA8CUE590KLFNuzQH3UGrqB3OeBt7LYGBJL_HV3U3xZcUgCh/w640-h640/Ajibu+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjedtz_uxlpMrQegzr1F90Oe524O1Uf0Ov2g4z9r2FKEptrsXolvkauo7HwWZosXuBxk5FtbfxeroothEnUIYXOvrGlJnYgWA8CUE590KLFNuzQH3UGrqB3OeBt7LYGBJL_HV3U3xZcUgCh/s72-w640-c-h640/Ajibu+1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/nyota-wa-tano-wa-simba-kuikosa-azam-fc.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/nyota-wa-tano-wa-simba-kuikosa-azam-fc.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy