DUH! KICHAPO CHA RUVU SHOOTING WADAI NI UZALENDO
HomeMichezo

DUH! KICHAPO CHA RUVU SHOOTING WADAI NI UZALENDO

 MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Klabu ya Ruvu Shooting amesema kuwa hawakuwa na lengo la kupoteza mbele ya Namungo ila wamefanya uzalendo ku...

YANGA WATINGA CONGO YASEPA NA BEKI, WAIBUKIA AFRIKA KUSINI
SIMBA WAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA
MECHI ZA EUR0 2020 KUTIMUA VUMBI RASMI WIKIENDI HII

 MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Klabu ya Ruvu Shooting amesema kuwa hawakuwa na lengo la kupoteza mbele ya Namungo ila wamefanya uzalendo kuwapa nguvu wapinzani wao kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.

Namungo ikiwa Uwanja wa Majaliwa, Februari 7 ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara na kusepa na pointi tatu muhimu.

Pointi hizo zimewatoa kwenye nafasi ya 15 ambayo walikuwa awali na pointi zao 18 na kuwapandisha mpaka nafasi ya 12 ikiwa imecheza jumla ya mechi 16 na pointi zake 21.

Ruvu Shooting inabaki nafasi ya tano ikiwa na pointi 28 baada ya kukamilisha mzunguko wa kwanza ikiwa imecheza jumla ya mechi 18.

Bwire amesema:"Hatukuwa na lengo la kushindwa mbele ya Namungo ila ilikuwa ni uzalendo unajua Namungo inawakilisha nchi kimataifa sasa tumeamua tuwape nguvu ili waweze kufanya vizuri kimataifa.

"Sisi mwendo wetu ni kuendelea kupapasa na kusaka ushindi kwenye kila mechi, kikosi chetu ni bora hiyo ipo wazi, hivyo wachezaji wetu ninawapongeza pamoja na Namungo pia," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DUH! KICHAPO CHA RUVU SHOOTING WADAI NI UZALENDO
DUH! KICHAPO CHA RUVU SHOOTING WADAI NI UZALENDO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKW1jpmEFNbnj9JmSk1jpbg1yoU-eCtou8tQmdw_vptvKtWoG9lI4czGDMtZVJ_lGfpKVaH7tdVgBRAzvo3hRingrQSDSfd77y3A3WJOvEg0yflytrdhAwAgzJ3obUoFgTWwNhJa5SeYpa/w640-h432/ruvushooting.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKW1jpmEFNbnj9JmSk1jpbg1yoU-eCtou8tQmdw_vptvKtWoG9lI4czGDMtZVJ_lGfpKVaH7tdVgBRAzvo3hRingrQSDSfd77y3A3WJOvEg0yflytrdhAwAgzJ3obUoFgTWwNhJa5SeYpa/s72-w640-c-h432/ruvushooting.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/duh-kichapo-cha-ruvu-shooting-wadai-ni.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/duh-kichapo-cha-ruvu-shooting-wadai-ni.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy