HomeHabariTop Stories

Rais Trump aanza kwa kishindo

Rais wa Marekani Donald Trump ameanza awamu ya pili ya urais siku ya Jumatatu, wakati ulimwengu ukijiandaa na kurejea kwa kiongozi huyo asiy...

Rais wa Marekani Donald Trump ameanza awamu ya pili ya urais siku ya Jumatatu, wakati ulimwengu ukijiandaa na kurejea kwa kiongozi huyo asiyetabirika.

Akizungumza baada ya kula kiapo kama rais wa 47 wa Marekani siku ya Jumatatu Januari 20, 2025, ndani ya ukumbi wa Rutanda katika jengo la bunge, Rais Trump amesema ataleta mapinduzi katika maisha ya Wamarekani.

Trump aliyenusurika kutokana na mashataka ya kuondolewa madarakani, mshtaka kadhaa ya uhalifu na majaribio mawili ya kutaka kuuliwa, alipata ushindi kwa muhula mwengine katika White House, amesema atachukua hatua muhimu za kiutendaji mara tu baada ya kuapishwa.

Akimaliza sherehe za kuapishwa bungeni kiongozi huyo ataelekea katika ukumbi wa Capital One Arena ambako karibu wafuasi wake elfu 20 wamekuwa wakifuatilia sherehe na kumsubiri kumkaribisha kama rais mpya wa Marekani

The post Rais Trump aanza kwa kishindo first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/hzgOb08
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Trump aanza kwa kishindo
Rais Trump aanza kwa kishindo
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/rais-trump-aanza-kwa-kishindo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/rais-trump-aanza-kwa-kishindo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy