SIMULIZI YA DAKTARI ALIYEMUOKOA MVUTA SIGARA
HomeMichezo

SIMULIZI YA DAKTARI ALIYEMUOKOA MVUTA SIGARA

SIMULIZI ya daktari aliyemuokoa mvuta sigara Uraibu wa kitu chochote huwa ni vigumu kuacha haswa kama ni mihadarati. Uraibu wa kitu  huw...


SIMULIZI ya daktari aliyemuokoa mvuta sigara


Uraibu wa kitu chochote huwa ni vigumu kuacha haswa kama ni mihadarati. Uraibu wa kitu huwa ni suala ambalo huwa linawakwaza watu wengi na mara nyingi watu wengi husema wataacha tabia fulani lakini mwisho wao hupita katika njia panda kwani wao hurudia tabia zile kila uchao.

 Uvutaji sigara ni suala ambalo ama kwa hakika huwa tishio ama vigumu sana kwa watu kuasi. Mraibu yeyote wa sigara huwa na wakati mgumu maishani kwani hawezi fanya lolote bila ya kuvuta moshi wa sigara. 

Nilikuwa na shida ya kuvuta sigara na mara nyingi nilijipata kwenye njia panda kwani uvutaji huo ulikuwa umeharibu kabisa mapafu yangu kama picha ya Xray ilivyoonyesha. Mke wangu alikuwa hapo awali amenionya kutokana na tabia ile lakini niliendelea kuvuta sigara.

 Ama kwa hakika kila starehe huwa gharama na kweli uvutaji wa sigara ulinifanya kutumia pesa nyingi hata zaidi.

Kila siku nilikuwa navuta paketi moja iliyogharimu shilingi nyingi tu. Nikiwa Ofisini nilikuwa kila mara naondoka na kukimbia chooni kwa ajili ya kutimiza haja ya kuvuta sigara.

 Kuasi uvutaji wa sigara ama kwa hakika ilikuwa ni vigumu kwangu. Nilipokaa muda mrefu bila ya kuvuta sigara nilikuwa mtu mwenye hasira na asiye mchangamfu katika kila hali.

 Watu waliokuwa kando yangu ndio walioniambia suala lile. Kila nilipoingia kwenye nyumba yangu nilivuta tu sigara hata mbele ya wanangu na kila nilipomaliza nilikuwa najiuliza nini nilichokuwa nafanya.

 Kiu ya sigara iliponijia nilikua navuta tu hata kabla ya kufikiria nilipokuwa. Hata kama nilikuwa nafanya starehe na kiu imefika nilivuta sigara kwanza ili niendelee na burudani nyingine.

 Ama kwa hakika nilikuwa mraibu ajabu. Mke wangu alikuwa amelalamikia suala hili sana lakini yote yalitua kwenye sikio la kufa. Kama wangekuwa wakitunzwa wavutaji wa sigara na zawadi basi ningeibukia kuwa mshindi kila mara kwani nilikuwa bingwa katika uvutaji wa sigara.

Nilitamani kuasi kabisa tabia ile kwani mapafu yangu yalikuwa yameathirika kabisa hali iliyopelekea niwe na shida ya kupumua. Nilimwelezea ndugu yangu kuhusu hali ile na hapo akanielekeza kwa dakatari wa tiba asilia aliyejulikana kama daktari Kiwanga

Nilifunga safari kutoka mjini Kakamega nilipokuwa nikiishi hadi kwa daktari Kiwanga mjini Kericho kwa ajili ya usaidizi wake. Nilifika kwenye ofisi zake na hapo akaniambia kwamba hata nilikuwa naugua kiharusi kwa ajili ya uraibu wangu wa uvutaji sigara. 

Alinipa dawa ya miti shamba ambayo nilikunywa ili kwanza kuosha mapafu yangu. Baadaye alinipa dawa nyingine ambayo alisema ingemaliza kiharusi nilichokuwa naugua kwa wakati ule. 

Aliniahidi kwamba kutoka pale hakuna hata siku moja ambayo ningetamani kuvuta sigara kwani alikuwa amefunga kiu kile kabisa.

Nilirejea nyumbani na barabarani nilitembea na kuona watu wakivuta sigara lakini sikuwa na kiu hata kidogo. Nilipomweleza mke wangu hakuamini na kila mara alibaki amenichunguza ambapo baadaye alipata ni ukweli kwamba nilikuwa nimeasi kabisa uvutaji wa sigara.

Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutibu mambo kadhaa yanayokusumbua maishani kama vile kukukinga kutokana na nguvu za mazingaombwe yanayoletwa na adui zako kukumaliza. Ana uwezo pia wa kukinga biashara yako inawiri kwa kuzuia wezi kukuibia kwa wakati wowote ule.

Anatibu magonjwa kama vile Kisonono, Kaswende na mengineyo kwa kwa muda wa siku tatu pekee. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMULIZI YA DAKTARI ALIYEMUOKOA MVUTA SIGARA
SIMULIZI YA DAKTARI ALIYEMUOKOA MVUTA SIGARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVUa5HgpA3kb5g6QdJWq0tGRsciitS7Bxx6x114HGhE34Mz9fmghjn6V_NcwsVbokZ0oYBWzHkEx4H9YXWbhqIy2z5FeKwbHL4yaH7eSegXox0S8TS11oTTJS3_bQsAJw-2i4-mBoIGVI0/w640-h360/No+smok.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVUa5HgpA3kb5g6QdJWq0tGRsciitS7Bxx6x114HGhE34Mz9fmghjn6V_NcwsVbokZ0oYBWzHkEx4H9YXWbhqIy2z5FeKwbHL4yaH7eSegXox0S8TS11oTTJS3_bQsAJw-2i4-mBoIGVI0/s72-w640-c-h360/No+smok.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simulizi-ya-daktari-aliyemuokoa-mvuta.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/simulizi-ya-daktari-aliyemuokoa-mvuta.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy