DODOMA JIJI KAZI INAENDELEA, MAKAZI YAO SASA MAKAO MAKUU
HomeMichezo

DODOMA JIJI KAZI INAENDELEA, MAKAZI YAO SASA MAKAO MAKUU

UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kuwa kwa sasa unaendelea na  maandalizi yake makao makuu ya Tanzania, Dodoma baada ya kumaliza kambi w...

YANGA KUSHUSHA MUZIKI KAMILI MBELE YA KENGOLD YA MBEYA KESHO
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kuwa kwa sasa unaendelea na  maandalizi yake makao makuu ya Tanzania, Dodoma baada ya kumaliza kambi waliyoiweka pale Morogoro.

Timu hiyo ipo chini ya Kocha Mkuu, Mbwana Makata ambaye alikipandisha kikosi hicho kutoka Ligi Daraja la Kwanza ambayo kwa sasa inaitwa Championship.

Msimu wake wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa 2020/21 aliweza kukiongoza kikosi hicho kumaliza kikiwa nafasi ya nane na pointi zao 44.


Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Dodoma Jiji, Moses Mpunga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya msimu mpya na watapambana kufanya vizuri.


"Tuliweka kambi Morogoro ila kwa sasa tumesharejea Dodoma kwa ajili ya maandalizi ya mechi zetu za ligi na kila kitu kinakwenda sawa.


'Tunaamini kwamba utakuwa ni msimu mgumu lakini hakuna namna maandalizi mazuri na kila mmoja kuhitaji kupata matokeo kutatupa nguvu wakati ujao kikubwa mashabiki kuwa nasi kila wakati," amesema.

Kwenye ligi mchezo wao wa ufunguzi unatarajiwa kuwa Septemba 28 itakuwa dhidi ya Ruvu Shooting,Uwanja wa Jamhuri.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DODOMA JIJI KAZI INAENDELEA, MAKAZI YAO SASA MAKAO MAKUU
DODOMA JIJI KAZI INAENDELEA, MAKAZI YAO SASA MAKAO MAKUU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4DfDt8Ri7l1IaAe4jIUvxUc25uMxSalh17owhqgbWObW4jI4S908oUqN7qDP-Yf5kRiI3A7QMXd-3mMeqnkimeYa8003rgwaas0b7be07cNGfkH3oIDRxE_WAZGpQAAjhy2NXJWIij9Yz/w640-h568/242213264_114827470931651_251866937454833359_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4DfDt8Ri7l1IaAe4jIUvxUc25uMxSalh17owhqgbWObW4jI4S908oUqN7qDP-Yf5kRiI3A7QMXd-3mMeqnkimeYa8003rgwaas0b7be07cNGfkH3oIDRxE_WAZGpQAAjhy2NXJWIij9Yz/s72-w640-c-h568/242213264_114827470931651_251866937454833359_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/dodoma-jiji-kazi-inaendelea-makazi-yao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/dodoma-jiji-kazi-inaendelea-makazi-yao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy