KLABU ya Yanga leo Juni 27, 2021 wanafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021 kwenye ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke mkabala na Chuo ch...
KLABU ya Yanga leo Juni 27, 2021 wanafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021 kwenye ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke mkabala na Chuo cha Ualimu pamoja na Uwanja wa Benjamin Mkapa, miongoni mwa waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji na alipokelewa kwa shangwe kubwa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS