Makinda:Sensa Ya Watu Izingatie Mapato
HomeHabari

Makinda:Sensa Ya Watu Izingatie Mapato

SPIKA Mstaafu Anne Makinda amesisitiza kuwa sensa ya watu na makazi mwaka huu ni muhimu kwakuwa itawezesha serikali kujua idadi ya watu k...


SPIKA Mstaafu Anne Makinda amesisitiza kuwa sensa ya watu na makazi mwaka huu ni muhimu kwakuwa itawezesha serikali kujua idadi ya watu kila eneo na kuzingatia ugawaji mapato

Anne ambaye pia kamisaa wa sensa ya watu na makazi na mjumbe wa jumuiya ya maridhiano Tanzania aliitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa amani uliojumuisha viongozi mbalimbali ambapo alitumia nafasi hiyo kueleza namna sensa inavyoweza kuhamasisha ulipaji kodi kwa wananchi kama ikitumika vizuri.

“Tumeelezwa na mtu wa TRA kwamba mpaka mwaka juzi waliokuwa wanalipa kodi halali walikuwa milioni 3 kati ya milioni 60 hivyo ubunifu uliofanywa na serikali kupata hiyo

…Mwaka huu ni wa sensa ya taifa ya kuhesabu watu na makazi yao faida ya kufanya hiyo kitu kwa sababu leo sisi tuna watoto wengine walemavu wamefichwa majumbani hawajulikani, kuna wazee wanamuomba Mungu tuu awanusuru, kuna watu wenye matatizo chungu nzima…

Ukiingia kwenye vyombo vya habari utakuta mtu anaomba kitu mpaka unasikia uchungu lakini sisi watanzania tupo,”alisema Anna.

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi TRA, Richard Kayombo
alieleza kuwa nchini kuna ukanda mrefu wa bahari, maziwa na kumepakana nan chi nane hivyo kuna vichochoro  vingi vya magendo ambavyo vinanufaisha baadhi ya watu na kusababisha ukusanyaji mapato kutoongezeka wakati lengo la kufikia zaidi ya sh. Trilioni 3 lipo.

Mwenyekiti wa  Kamati ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema kulipa kodi ni ibada na kukwepa kulipa kodi ni dhambi huku akiwataka wanamaridhiano wote nchini kuunga mkono juhudi za serikali kuhusu suala hilo ili nchi iendelee.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda aliipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kutumia viongozi wa dini kuelimisha waumini na watanzania kuhusu umuhimu wa kulipa kodi.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Makinda:Sensa Ya Watu Izingatie Mapato
Makinda:Sensa Ya Watu Izingatie Mapato
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgpmifpBXjsxNqYeTltx5Zg0cNgWeB3icfO84AKlC9Dc7HxaYQCfRd-imDNUxFfwhJyTqAx9eDRJy_CDHxlEwRAZax1EI-pzBpge1TP1TdiIE-r97jD5an12Dpq6ry-riutW8quMZVpuGOOF3wkwuP3S1XZkjGWX39tHMdQzNgGcRcwxGQJFiZDqfuLvw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgpmifpBXjsxNqYeTltx5Zg0cNgWeB3icfO84AKlC9Dc7HxaYQCfRd-imDNUxFfwhJyTqAx9eDRJy_CDHxlEwRAZax1EI-pzBpge1TP1TdiIE-r97jD5an12Dpq6ry-riutW8quMZVpuGOOF3wkwuP3S1XZkjGWX39tHMdQzNgGcRcwxGQJFiZDqfuLvw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/makindasensa-ya-watu-izingatie-mapato.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/makindasensa-ya-watu-izingatie-mapato.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy