PRINCE DUBE NJE YA UWANJA WIKI MBILI
HomeMichezo

PRINCE DUBE NJE YA UWANJA WIKI MBILI

NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Prince Dube anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa wiki mbili ili aweze kurejea ndani ya uwanja.  Dube ...

MICHAEL SARPONG AAHIDI MABAO MZUNGUKO WA PILI
UCHAGUZI WA SIMBA NI LEO,SIFA YA MPIGA KURA PIA NI KULIPA ADA
WATATU WA AZAM FC KUIKOSA SIMBA KESHO KWA MKAPA

NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Prince Dube anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa wiki mbili ili aweze kurejea ndani ya uwanja.

 Dube mwenye mabao nane ndani ya Ligi Kuu Bara aliumia kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mwadui FC ambapo aliumia kwenye misuli ya paja dakika ya 25.

Mchezo huo ulikamilika kwa sare ya bila kufungana baada ya dakika 90 kwa kuwa ubao ulisoma Mwadui 0-0 Azam FC baada ya dakika 90.

Kwa mujibu wa daktari wa Azam FC, Mwanandi Mwankemwa amesema kuwa nyota huyo atakuwa nje kwa muda wa wiki mbili kabla ya kurejea uwanjani.

"Dube atakuwa nje kwa muda wa wiki moja akipewa huduma na ile ya pili ataanza mazoezi mepesi ili kuweza kurejea kwenye ubora wake.

"Baada ya kukamilisha wiki hizo mbili akiwa nje ya uwanja atafanyiwa vipimo tena ili kujua kwamba kama yupo fiti kurejea kwenye mechi za ushindani ama atapaswa kusubiri tena, ila mashabiki wasiwe na hofu kila kitu kitakuwa sawa," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: PRINCE DUBE NJE YA UWANJA WIKI MBILI
PRINCE DUBE NJE YA UWANJA WIKI MBILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_2bYef_Noe6BYmjdnUbuE2c5f41S-ghf-R35GG3bpeUsy-ej4cfaj023x2DIxDNdZJ0Rz_QCqorMLnAaplmibzzM3gJnZbxKLokQaoqTDIgMAcn_ktXFfSMrrrycXakumtjbSDHS3w7ZG/w640-h640/Dube+kazini.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_2bYef_Noe6BYmjdnUbuE2c5f41S-ghf-R35GG3bpeUsy-ej4cfaj023x2DIxDNdZJ0Rz_QCqorMLnAaplmibzzM3gJnZbxKLokQaoqTDIgMAcn_ktXFfSMrrrycXakumtjbSDHS3w7ZG/s72-w640-c-h640/Dube+kazini.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/prince-dube-nje-ya-uwanja-wiki-mbili.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/prince-dube-nje-ya-uwanja-wiki-mbili.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy