THOMAS Tuchel, Kocha Mkuu wa Chelsea amesema kuwa pointi moja waliyopata mbele ya Manchester United, Uwanja wa Stamford Bridge si haba k...
THOMAS Tuchel, Kocha Mkuu wa Chelsea amesema kuwa pointi moja waliyopata mbele ya Manchester United, Uwanja wa Stamford Bridge si haba kwa kuwa wachezaji walipambana kusaka ushindi.
Mchezo huo uliochezwa usiku wa kuamkia leo ulikuwa na ushindani mkubwa huku Manchester United wakilalamika kwamba walinyimwa penalti ya wazi Kwenye mchezo huo uliokamika ubao kusoma 0-0.
Matokeo hayo yanaifanya Chelsea kufikisha jumla ya pointi 44 ikiwa nafasi ya 5 huku United ikibaki nafasi ya pili na pointi 50. Kinara ni Manchester City mwenye pointi 62.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS