BOCCO AMUWEKA KANDO KIMTINDO DUBE
HomeMichezo

BOCCO AMUWEKA KANDO KIMTINDO DUBE

  JOHN Bocco, nahodha wa Simba ambaye ni mzawa ameweka rekodi yake kwa kuzitungua timu mbili nje ndani akimuweka kando kimtindo mshikaji ...

 


JOHN Bocco, nahodha wa Simba ambaye ni mzawa ameweka rekodi yake kwa kuzitungua timu mbili nje ndani akimuweka kando kimtindo mshikaji wake Prince Dube wa Azam FC ambaye ameitungua timu moja pekee.

Wote wawili kwa sasa ni namba moja kwa utupiaji ambapo wana mabao 14, anayewafuata ni Meddie Kagere wa Simba mwenye mabao 11 ila hajaweza kuweka rekodi ya kufunga timu moja mara mbili.

Desemba 13, Uwanja wa Sokoine dk 33 Bocco alifunga bao pekee la ushindi lililoipa pointi tatu mazima Simba alirudia tena walipokutana Uwanja wa Mkapa, Juni 22 ambapo alifunga bao lake la 14 ilikuwa ni dk ya 47.

Mbali na Mbeya City, timu nyingine ambayo alifunga nje ndani ilikuwa mbele ya Mwadui FC aliwatungua Oktoba 31 mabao mawili dakika ya 25 na 64 kwa guu lake la kulia na dakika ya 66 aliwatungua kwa kichwa Uwanja wa Kambarage, Aprili 18.



Kwa upande wa Dube yeye aliwatungua Kagera Sugar ilikuwa Oktoba 4, dakika ya 5 kwa guu la kulia  na dakika ya  88 kwa guu la kushoto ilikuwa Uwanja wa Azam Complex. Mara ya pili mbele ya Kagera Sugar ilikuwa Machi 3, Uwanja wa Kaitaba dakika ya 26 aliwatugua bao moja kwa guu la kulia.


 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BOCCO AMUWEKA KANDO KIMTINDO DUBE
BOCCO AMUWEKA KANDO KIMTINDO DUBE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCKzV5DZ87KrLzhfTguKtlnT1-f9UO8meZuT4hvvFbyQGVjzk41APR5TTMWZ8Bt2q4W5OgcVKwUMm3xXVlCwRk8KM9278zLuOxhyzK7GredSv_xXPWNbvwWj5lOqRrTh2dDATPhqIQrFMF/w640-h426/Bocco+v+Ruvu+Shooting.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCKzV5DZ87KrLzhfTguKtlnT1-f9UO8meZuT4hvvFbyQGVjzk41APR5TTMWZ8Bt2q4W5OgcVKwUMm3xXVlCwRk8KM9278zLuOxhyzK7GredSv_xXPWNbvwWj5lOqRrTh2dDATPhqIQrFMF/s72-w640-c-h426/Bocco+v+Ruvu+Shooting.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/bocco-amuweka-kando-kimtindo-dube.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/bocco-amuweka-kando-kimtindo-dube.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy