SHABIKI wa Yanga, Jimmy Kindoki amesema kuwa kwa namna yoyote ile mchezo wa Simba v Yanga, Yanga lazima washinde kwa kuwa mchezo wa dabi n...
SHABIKI wa Yanga, Jimmy Kindoki amesema kuwa kwa namna yoyote ile mchezo wa Simba v Yanga, Yanga lazima washinde kwa kuwa mchezo wa dabi ni mechi ya tofauti.
Ameongeza kuwa ikiwa Simba watakuwa na akili wazianze na mchezaji wao wa zamani, Bernard Morrison.
Kesho Mei 8 Yanga watakuwa wageni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00 na sababu nyingine ameongeza kwamba Simba wanawadharau Yanga.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS