ILIKUWA ni furaha kwa Wananchi, Yanga baada ya kutwaa taji la Ngao ya Jamii kwa kuwa mwanzo mwisho walikuwa wakishangilia baada ya kuitungua...
ILIKUWA ni furaha kwa Wananchi, Yanga baada ya kutwaa taji la Ngao ya Jamii kwa kuwa mwanzo mwisho walikuwa wakishangilia baada ya kuitungua Simba bao 1-0, wakati wa kugawa zawadi mashabiki wa Simba walikuwa wameshasepa eneo la tukio kitambo Uwanja wa Mkapa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS