SIMBA YAFUNGUKA ISHU YA KUFUNGIWA NA FIFA KUSAJILI KISA KWASI
HomeMichezo

SIMBA YAFUNGUKA ISHU YA KUFUNGIWA NA FIFA KUSAJILI KISA KWASI

  U ONGOZI  wa Simba  umeibuka na  kufungukia sakata  la wao kufungiwa  kufanya usajili kwa  kipindi cha msimu  mmoja na Shirikisho  la So...

JOHN BOCCO ANALIAMSHA DUDE KILA BAADA YA DAKIKA 56
SIMBA, YANGA ZAGOMBEA SAINI YA KIPA HUYU MZAWA
VIDEO: ISHU YA CAS HAINA FAIDA KWA YANGA, AJIBU NI MCHEZAJI MZURI

 UONGOZI wa Simba umeibuka na kufungukia sakata la wao kufungiwa kufanya usajili kwa kipindi cha msimu mmoja na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

Taarifa hizo za kufungiwa Simba zilienea hivi karibuni kwa kile kilichotajwa kushindwa fidia za kuvunja mkataba wa aliyekuwa beki wao wa pembeni, Mghana Asante Kwasi.

 

Katika taarifa hiyo ilielezwa Simba imefungiwa baada ya kushindwa kumlipa fidia ya Sh 9Mil baada ya kuvunja mkataba wa kuendelea kuichezea timu hiyo.

 

Mkuu wa Kitengo cha Mahudhui cha Simba, Ally Shatry alisema kuwa hizo taarifa hazina ukweli wowote za wao kufungiwa huku akiwataka mashabiki wa timu hiyo kuachana nazo.

 

Shatry alisema kuwa, hizo ni proganda zilianzishwa kwenye mitandao ya kijamii zenye lengo la kuwaondoa kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Aliongeza kuwa hakuna barua yoyote ya kiofisi waliyopokea kutoka Fifa kuhusiana na taarifa hizo, kama zingekuwa za kweli basi wangeandikiwa barua na shirikisho hilo.

 

“Kinachoendelea sisi tunakijua kila kitu, hizo ni propaganda zenye lengo baya za kutuchafua na kututoa kwenye mbio zetu za ubingwa wa ligi.

 

“Katika kuthibitisha hilo hakuna barua yoyote tuliyopokea kutokea Fifa hata hilo shirikisho hilo halifanyi kazi na mitandao ya kijamii iliyovumisha taarifa hizo.


“Kama uongozi tumezipuuza taarifa hizo na badala yake nguvu na akili zetu tunazielekeza katika mchezo ujao wa ligi ,” alisema Shatry.

 

Alipotafutwa Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’, Cliford Ndimbo kuhusiana na ishu hiyo alisema: “Mpaka sasa kwenye idara yangu ya habari taarifa hiyo haijafika, nami ninaiona kwenye mitandao, ninasubiri ikifika tutatoa taarifa rasmi juu ya ishu hiyo.”


Chanzo:Championi 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAFUNGUKA ISHU YA KUFUNGIWA NA FIFA KUSAJILI KISA KWASI
SIMBA YAFUNGUKA ISHU YA KUFUNGIWA NA FIFA KUSAJILI KISA KWASI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjxNc4vGWbByoquLrSbl-p9spmo9rFfUnzTSpqXt5loI5Ud3GYztZRidYmr3gWiJaF303rDqJ9SMsy8msc-caj84uXouYliXrKvrxZNAtlVGfpo29DBqTbao01hUqm7L8QCew49kQEKYzU/w640-h426/Kwasi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjxNc4vGWbByoquLrSbl-p9spmo9rFfUnzTSpqXt5loI5Ud3GYztZRidYmr3gWiJaF303rDqJ9SMsy8msc-caj84uXouYliXrKvrxZNAtlVGfpo29DBqTbao01hUqm7L8QCew49kQEKYzU/s72-w640-c-h426/Kwasi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-yafunguka-ishu-ya-kufungiwa-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-yafunguka-ishu-ya-kufungiwa-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy