SIMBA, YANGA ZAGOMBEA SAINI YA KIPA HUYU MZAWA
HomeMichezo

SIMBA, YANGA ZAGOMBEA SAINI YA KIPA HUYU MZAWA

 ABUTWALIB Mshery, kipa namba moja wa Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Badru Mohamed anatajwa kuingia kwenye rada za Yanga na Simba...

SIMBA NA YANGA KUANDIKA REKODI MPYA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
GUARDIOLA ASIKITIKA KINOMA KISA SARE

 ABUTWALIB Mshery, kipa namba moja wa Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Badru Mohamed anatajwa kuingia kwenye rada za Yanga na Simba ambao wapo kwenye mpango wa kuboresha vikosi vyoa kwa sasa.

Kipa huyo amekuwa chaguo la kwanza kwa makocha wote ambao wamepita katika kikosi hicho ambacho kwa sasa kipo kambini kwa ajili ya kujiweka sawa na mechi za lala salama.

Ilikuwa zama za Zuber Katwila ambaye kwa sasa yupo Ihefu, Hitimana Thiery ambaye alibwaga manyanga na kwa sasa chini ya Mohamed.

Nyota huyo mzawa kwenye mechi zote za Simba na Yanga alikaa langoni jambo ambalo limewafanya mabosi hao kuanza kumfuatilia kwa ukaribu ili kupata saini yake na huenda wakampata bure kwa kuwa kandarasi yake ipo ukingoni.

Anakumbuka kwamba kwenye kichapo cha Simba 5-0 Mtibwa Sugar namna alivyopata tabu na wakati ule ubao ukisoma Yanga 1-0 Mtibwa, licha ya jitihada zake kuokoa hatari ila hakuweza kuipa pointi timu yake.

Kuhusu suala hilo nyota huyo amesema:"Mkataba wangu ndani ya Mtibwa Sugar unamalizika, kuhusu Yanga na Simba bado hawajanifuata ila mimi nitaangalia pale ambapo pana maslahi zaidi ikiwa tutafikia makubaliano basi nitajiunga na timu yoyote," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA, YANGA ZAGOMBEA SAINI YA KIPA HUYU MZAWA
SIMBA, YANGA ZAGOMBEA SAINI YA KIPA HUYU MZAWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEje4jR4EuaANQAhMazSB3bmvhCSU7Z1UsZePk-VKtMjy3PRDmUBw0fYjWQ4MDL68w6qppyYLzMnjUP-nJcFAoalwdUYp6k1Q4xAvkGWMGlyNcvxr-nGiYkAzoLUs8cTSw82QGlxPnDSGmNy/w512-h640/_mshery-151785466_449447313151522_2629286592318161867_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEje4jR4EuaANQAhMazSB3bmvhCSU7Z1UsZePk-VKtMjy3PRDmUBw0fYjWQ4MDL68w6qppyYLzMnjUP-nJcFAoalwdUYp6k1Q4xAvkGWMGlyNcvxr-nGiYkAzoLUs8cTSw82QGlxPnDSGmNy/s72-w512-c-h640/_mshery-151785466_449447313151522_2629286592318161867_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/simba-yanga-zagombea-saini-ya-kipa-huyu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/simba-yanga-zagombea-saini-ya-kipa-huyu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy