“Wanawake wajasiriamali wapewa mafunzo maalum,Aweso atoa Mil 10 kuwawezesha”
HomeHabariTop Stories

“Wanawake wajasiriamali wapewa mafunzo maalum,Aweso atoa Mil 10 kuwawezesha”

Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso amechangia kiasi Cha shilingi Mil.10 kwa wajasiriamali wadogowadogo 600 waliopatiwa mafunzo maalum yanayorati...

PPP waandaa zoezi la kuibua miradi Mikoa 12
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 12, 2025
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 12, 2025

Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso amechangia kiasi Cha shilingi Mil.10 kwa wajasiriamali wadogowadogo 600 waliopatiwa mafunzo maalum yanayoratibiwa na Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Tanga Mhe.Husna Sekiboko.

Akizungumza mara baada ya kuchangia Mil.10 Mhe.Aweso amesema kuwa hawezi kuwasahau waliomtoa.

“Dada Husna umenikumbusha 2015 Wakati nimemamliza masomo yangu ya chuo na kusema Marekani yangu ni Pangani nakutangaza nia ya kugombea ubunge nilikataliwa na watu wengi lakini wamama walinikubali na kuniheshimisha na Mimi nawaheshimisha Kwa kutoa kiasi Cha shilingi Mil 10 kwenu”

 

Naye Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Tanga Mhe.Husna Sekiboko amesema kuwa “natekeleza maagizo ya Kamati Kuu ya CCM ambayo imedhamiria kutoa mafunzo kwa wanawake wajasiliamali pamoja na wa UWT Ili kuwapa mbinu za kujikwamua kiuchumi na pia

niwejiwekea utaratibu wa kutembelea tarafa kwa tarafa na nimefanya hilo Kwa tarafa zote za Mkoa wa Tanga ambapo nimesikiliza kero mbalimbali za wananchi na pia kukutana na changamoto mbalimbali zikiwemo ukosefu wa matenki ya Maji lakini pia kuchangia ujenzi wa zahanati katika shule na kuzitatua peke yangu nyingne nliwasilisha kwenye Chama na Kwa ushauri na kutatuliwa.

Katika ziara zake Mhe. Sekiboko amesema kuwa sehemu kubwa ya changamoto ni mikopo ya wajasiliamali wadogowadogo ambapo walikuwa wanahitaji Elimu juu ya uendeshaji wa biashara hiyo ambapo nimejitahidi kuleta mafunzo hayo maalum kwa ajili ya kujifunza na wakitoka hapa wakawafundishe wanawake wengine, pia amegawa mitungi ya gesi ya nishati safi 600 kwa kuwafundisha akina mama juu ya matumizi ya nishati safi huku mitungi mingine 400 akiendelea kutoa katika Wilaya nyingine Ili kutunza mazingira yetu.

Aidha Mhe.Sekiboko ameongeza kwa kusema kuwa katika kutoa Elimu unyanyasaji wa kijinsia ni tatizo katika Jamii yetu na kuwasihi kina mama kujikita katika malezi ya watoto na kukemea vitendo viovu.

The post “Wanawake wajasiriamali wapewa mafunzo maalum,Aweso atoa Mil 10 kuwawezesha” first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/tqiU0EI
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: “Wanawake wajasiriamali wapewa mafunzo maalum,Aweso atoa Mil 10 kuwawezesha”
“Wanawake wajasiriamali wapewa mafunzo maalum,Aweso atoa Mil 10 kuwawezesha”
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/01/IMG-20250101-WA0018-950x934.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/wanawake-wajasiriamali-wapewa-mafunzo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/01/wanawake-wajasiriamali-wapewa-mafunzo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy