SIMBA KUKWEA PIPA LEO KUWAFUATA KAIZER
HomeMichezo

SIMBA KUKWEA PIPA LEO KUWAFUATA KAIZER

 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa leo Mei 10 kinatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Afrika K...




 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa leo Mei 10 kinatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Afrika Kusini.

Simba ni wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa sasa wametinga hatua ya robo fainali baada ya kuwa vinara wa kundi A wakiwa na pointi 13.

Mei 15 itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni robo fainali ya kwanza.

Kwa mujibu wa Kocha Mkuu, Gomes amesema kuwa wanatarajia kuondoka leo Jumatatu kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wao.

"Jumatatu jioni tunatarajia kuondoka Tanzania kuelekea Afrika Kusini," .

Wachezaji wa Simba watakwea pipa wakiwa na kumbukumbu mbaya ya mchezo wao dhidi ya watani wa jadi Yanga kuyeyuka kutokana na mkanganyiko ulitokea Mei 8.

Mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa saa 11:00 jioni ila Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) lilitoa taarifa kwamba utachezwa majira ya saa 1:00 usiku jambo ambalo liligomewa na Yanga kwa kueleza kuwa ni kinyume na kanuni.

Kwa sasa TFF wameeleza kuwa wanalifanyia kazi suala hilo ili kujua hatma ya mchezo huo ambao umesababisha hasara kubwa na inakuwa ni rekodi ya kwanza kwa miaka ya hivi karibuni kutokea.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KUKWEA PIPA LEO KUWAFUATA KAIZER
SIMBA KUKWEA PIPA LEO KUWAFUATA KAIZER
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoG7I644rKcOJRH4IHW3q7-0X34CHvCH9jRnwbQ-VR2zjuwS63mPCjdDOV0BypwaK8Sz33WA9DFGWPVa6WMJRjakuoUGRXz6zwr50ihwAvFO2G5M5vesoUtcEdTf3VA0zw9Y6LwCeiwj8p/w640-h426/Nyoni+Pipa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhoG7I644rKcOJRH4IHW3q7-0X34CHvCH9jRnwbQ-VR2zjuwS63mPCjdDOV0BypwaK8Sz33WA9DFGWPVa6WMJRjakuoUGRXz6zwr50ihwAvFO2G5M5vesoUtcEdTf3VA0zw9Y6LwCeiwj8p/s72-w640-c-h426/Nyoni+Pipa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-kukwea-pipa-leo-kuwafuata-kaizer.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-kukwea-pipa-leo-kuwafuata-kaizer.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy