UJUMBE WA BEKI WA YANGA KWA MNYAMA HUU HAPA
HomeMichezo

UJUMBE WA BEKI WA YANGA KWA MNYAMA HUU HAPA

 BEKI wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amefunguka na kuelezea mipango yao kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani zao,mnyama Simba ita...


 BEKI wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amefunguka na kuelezea mipango yao kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani zao,mnyama Simba itayopigwa wikiendi hii Uwanja wa Mkapa mkoani Dar.

Watani hawa wa jadi Yanga na Simba wamekutana mara nne kwa mwaka huu na hii ya Ngao ya Jamii itakuwa ya tano huku Yanga akiwa na rekodi nzuri kwa kushinda mara mbili na Simba moja pia wametoka sare mara moja.


Akizungumza na Championi Jumatano Mwamnyeto alisema: “Tumejipanga kama tunavyojipanga siku zote katika kila mechi ila tunajua mchezo huu utakuwa ni mgumu na siku zote haijawahi kuwa rahisi tukikutana na mtani.


“Imetuuma sana sisi kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa ila haina budi tumekubali matokeo tunaangalia mbele maana yameshapita tayari.”

Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi  iliondolewa hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufungwa jumla ya mabao 2-0 na Rivers United ya Nigeria.


Inakutana na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambaye yeye anakumbuka kwamba mchezo wake uliopita alipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe ila ulikuwa ni mchezo wa kirafiki.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: UJUMBE WA BEKI WA YANGA KWA MNYAMA HUU HAPA
UJUMBE WA BEKI WA YANGA KWA MNYAMA HUU HAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRHlTFEE726qmEpxwFdyHxd1_4YxbS7TCQBFjpVkW5m8G73AUpHAXqX2M8zoKxhp8YXJHop0kxb-3MyCSnoyMr9l8ByvIGf1eJVWacTgF_ga1nGnfagCr6frPy7boD_ox0t7KSgOuXw_Vy/w640-h558/Mwamnyeto.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRHlTFEE726qmEpxwFdyHxd1_4YxbS7TCQBFjpVkW5m8G73AUpHAXqX2M8zoKxhp8YXJHop0kxb-3MyCSnoyMr9l8ByvIGf1eJVWacTgF_ga1nGnfagCr6frPy7boD_ox0t7KSgOuXw_Vy/s72-w640-c-h558/Mwamnyeto.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ujumbe-wa-beki-wa-yanga-kwa-mnyama-huu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/ujumbe-wa-beki-wa-yanga-kwa-mnyama-huu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy