SEPTEMBA 19 bado Wanasimba wanakumbuka namna utambulisho wao wa wachezaji wa kikosi cha msimu wa 2021/22 ulivyofana katika tamasha la Simba ...
SEPTEMBA 19 bado Wanasimba wanakumbuka namna utambulisho wao wa wachezaji wa kikosi cha msimu wa 2021/22 ulivyofana katika tamasha la Simba Day.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Licha ya kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe ila Uwanja wa Mkapa nyomi ilikuwa kama yote.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS