MAJOGORO:TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO MECHI ZILIZOBAKI
HomeMichezo

MAJOGORO:TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO MECHI ZILIZOBAKI

 NYOTA wa kikosi cha Mtibwa Sugar,Baraka Majogoro amesema kuwa watapamba akupata matokeo kwenye mechi zao zote zilizobaki ili kubaki ndani...

SIMULIZI YA MFANYAKAZI ALIYEPANDISHWA CHEO OFISINI
SIMBA:TULICHEZA VIBAYA MBELE YA YANGA
MANCHESTER CITY YAMTAKA RAMOS

 NYOTA wa kikosi cha Mtibwa Sugar,Baraka Majogoro amesema kuwa watapamba akupata matokeo kwenye mechi zao zote zilizobaki ili kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara.


Chini ya Kocha Mkuu, Mohamed Badru ipo nafasi ya 11 ikiwa na pointi 34 baada ya kucheza mechi 30 na imebakiwa na mechi nne kukamilisha mzunguko wa pili utakaofunga msimu wa 2020/21 mazima.


Akizungumza na Saleh Jembe, Majogoro amesema kuwa ushindani msimu huu ni mkubwa na kila timu ina presha ya kupata matokeo jambo ambalo linawafanya nao wapambane kwa hali na mali.


“Kweli hatupo katika nafasi nzuri hasa ukizingatia kwamba pointi tulizo nazo pamoja na nafasi kwetu sio nzuri ambacho tutakifanya ni kupambana kushinda mechi zetu zote zilizobaki na inawezekana kikubwa mashabiki wazidi kutupa sapoti.

"Ushindani ni mkubwa nasi tunapambana kupata pointi tatu kwa sasa hasa ukizingatia tupo kwenye lala salama na kila timu inahitaji pointi tatu," amesema. Majogoro.

Mechi za Mtibwa Sugar ambazo zimebaki ni dhidi ya Mwadui FC, KMC, Dodoma Jiji na kigongo chao kingine ni dhidi ya JKT Tanzania.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAJOGORO:TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO MECHI ZILIZOBAKI
MAJOGORO:TUTAPAMBANA KUPATA MATOKEO MECHI ZILIZOBAKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtFFDtFnDHvmj3FH9OQZbr8cjaVF9xadbG_sjJnf_8I9SSttVK5ReYncu3Oebmn6VHGe1LEB6iEemEKAJCxE5vfnMB_l8BY2yphqUfvmPn24yk38iTKBt5yLWAImCxKkc9cIOSYZ-ZIeJA/w640-h524/Majogoro+v+Azam+FC.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtFFDtFnDHvmj3FH9OQZbr8cjaVF9xadbG_sjJnf_8I9SSttVK5ReYncu3Oebmn6VHGe1LEB6iEemEKAJCxE5vfnMB_l8BY2yphqUfvmPn24yk38iTKBt5yLWAImCxKkc9cIOSYZ-ZIeJA/s72-w640-c-h524/Majogoro+v+Azam+FC.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/majogorotutapambana-kupata-matokeo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/majogorotutapambana-kupata-matokeo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy