MANCHESTER CITY YAMTAKA RAMOS
HomeMichezo

MANCHESTER CITY YAMTAKA RAMOS

MANCHESTER City wapo kwenye mpango wa kuipata saini ya beki kisiki Sergio Ramos kwa dili la miaka miwili kwa mujibu wa ripoti. Beki huyo...


MANCHESTER City wapo kwenye mpango wa kuipata saini ya beki kisiki Sergio Ramos kwa dili la miaka miwili kwa mujibu wa ripoti.

Beki huyo raia wa Hispania ikiwa dili lake litajibu atajiunga na timu hiyo bure kwa kuwa mabosi wake wa zamani Real Madrid hawajamuongezea mkataba mpya baada ya dili lake kumeguka rasmi Juni 30.

Licha ya kwamba City inayonolewa na Kocha Mkuu, Pep Guardiola ikiwa inahitaji kupata saini yake ripoti zinaeleza kwamba Barcelona nao wanahitaji huduma yake sawa na PSG ambao walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kupata saini ya beki huyo ambaye amecheza kwa muda wa miaka 16 ndani ya Real Madrid na alikuwa nahodha pia. 

Imani kubwa ya kocha Guardiola kwa Ramos ni kwenye suala la uongozi hivyo anaamini kwamba akipata saini yake itamuongezea nguvu kwenye ushindani ndani ya Ligi Kuu England. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER CITY YAMTAKA RAMOS
MANCHESTER CITY YAMTAKA RAMOS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2tMYHkZMMhk9hiK_38U4y3wMlO10SnAnUDm6UwrRF-rq0vMl86sBSo0Yil2koeY1xN1MmJU6jZgEFut-YInZJQMM8aTmqgF_GQ5ncKY8Q1o4epeRNqwk43qEniyCQG4uDHeWeucb-egkT/w640-h360/Ramosi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2tMYHkZMMhk9hiK_38U4y3wMlO10SnAnUDm6UwrRF-rq0vMl86sBSo0Yil2koeY1xN1MmJU6jZgEFut-YInZJQMM8aTmqgF_GQ5ncKY8Q1o4epeRNqwk43qEniyCQG4uDHeWeucb-egkT/s72-w640-c-h360/Ramosi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/manchester-city-yamtaka-ramos.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/manchester-city-yamtaka-ramos.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy