MABOSI WA YANGA HAWAJAMWAMBIA CHOCHOTE MENEJA WA SARPONG
HomeMichezo

MABOSI WA YANGA HAWAJAMWAMBIA CHOCHOTE MENEJA WA SARPONG

  M ENEJA wa mshambuliaji  wa Yanga, Mghana, Michael  Sarpong, Alex Kamanzi raia  wa Rwanda ameibuka na kusema  kuwa hana presha yoyote ju...

MECHI KALI ZA EPL, SERIE A NA LALIGA KUPIGIKA WIKI HI
SHIRIKISHO NI MWADUI V YANGA, SIMBA V DODOMA JIJI
WANAUME 22 LEO KAZINI KUSAKA POINTI TATU

 MENEJA wa mshambuliaji wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong, Alex Kamanzi raia wa Rwanda ameibuka na kusema kuwa hana presha yoyote juu ya mwenendo wa mchezaji wake katika timu hiyo kwa kuwa hata waajiri wake hamna walichomweleza hadi sasa kuhusu mustakabali wake.

 

Sarpong mpaka sasa katika ligi kuu amefanikiwa kufunga mabao manne pekee licha ya kuwa na rekodi kubwa kabla ya kutua Yanga kutokana na kufunga mabao 23 katika Ligi Kuu ya Rwanda akiwa na Rayon Sport.


 Kamanzi amesema kuwa kwa upande wake hana presha yoyote licha ya mteja wake kushindwa kuwa na kiwango kizuri cha kufunga mabao katika timu hiyo kwa kuwa bado hawajaelezwa chochote hadi sasa.

 

“Unajua hakuna ambacho tumeelezwa na Yanga hadi sasa hivyo tunaendelea kusubiri kwa sababu ndiyo jambo jema kwetu haijalishi kuna presha kiasi gani kutoka katika upande wa mashabiki ndiyo maana tunasubiri kuona itakuwaje baadaye.

 

“Kikubwa tunamuomba juu ya kuwepo kwa presha ili aweze kupata nafasi na pia imekuwa nzuri kwa kuwa hayupo kwenye majeruhi yoyote, naamini anapitia kipindi cha mpito ambacho atakaa sawa tofauti na inavyochukuliwa na wangine,” amesema Kamanzi.


Kwa sasa Yanga ipo kwenye maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Simba amabo unatarajiwa kuchezwa Mei 8, Uwanja wa Mkapa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MABOSI WA YANGA HAWAJAMWAMBIA CHOCHOTE MENEJA WA SARPONG
MABOSI WA YANGA HAWAJAMWAMBIA CHOCHOTE MENEJA WA SARPONG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDG7_0lYILKHaiGnr_UM0rP6VVK0rgpUCiKaP61pBJz0Ic0Ax7_OGaqcJ9wn2OoaEcIc9EOSA-9jMUx6TQvkXHSsowH20qBiAjaV-97-iKcQU5X9NY1ST8TYTpyRuBqfEhNvFdv2ZbYsSi/w640-h456/Sarpong+v+Mwadui.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDG7_0lYILKHaiGnr_UM0rP6VVK0rgpUCiKaP61pBJz0Ic0Ax7_OGaqcJ9wn2OoaEcIc9EOSA-9jMUx6TQvkXHSsowH20qBiAjaV-97-iKcQU5X9NY1ST8TYTpyRuBqfEhNvFdv2ZbYsSi/s72-w640-c-h456/Sarpong+v+Mwadui.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mabosi-wa-yanga-hawajamwambia-chochote.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mabosi-wa-yanga-hawajamwambia-chochote.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy