AZAM FC YAWASILI MWANZA KUWAFUATA RHINO RANGERS
HomeMichezo

AZAM FC YAWASILI MWANZA KUWAFUATA RHINO RANGERS

  KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Geroge Lwandamina kimewasili Mwanza leo Mei 24 kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wao Rhi...

 


KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Geroge Lwandamina kimewasili Mwanza leo Mei 24 kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wao Rhino Rangers, Shinyanga katika mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali.

Mshindi wa mchezo huo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Simba v Dodoma Jiji unaoatrajiwa kuchezwa Mei 25, Uwanja wa Mkapa.

Mchezo wa Rhino Rangers v Azam FC unatarajiwa kuchezwa Jumatano, Mei 26, Uwanja wa Kambarage,  saa 10:00 jioni.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya ushindani na wanaamini watafanya vizuri ili kutimiza lengo lao la kutwaa taji hilo.

"Kikosi kwa sasa kimefika Mwanza na baada ya hapo tutaunganisha safari kuelekea Shinyanga kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Rhino Rangers.

"Wachezaji 23 waliondoka na Shirika la ndege la Air Tanzania kwa ajili ya kucheza na Rhino Rangers na timu itafika leo Shinyanga.

"Mchezo huu ni muhimu kwetu na tunahitaji kupata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa na namna pekee ya kufanya hivyo ni kushinda mechi zetu za Kombe la Shirikisho," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC YAWASILI MWANZA KUWAFUATA RHINO RANGERS
AZAM FC YAWASILI MWANZA KUWAFUATA RHINO RANGERS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpmQBXqv0EatY42PsCDaFhhP1v5TVYPeyPcUu2aTvTNcyitAMpJDIJMxDJsuJnEzkcOjm6Q1QI-eZiq5sQplaG4-SkSdUxDargcxRDuc9NxuB6sIcFAIey9kIrruetXoeAnHpGHCq2JCyG/w640-h480/IMG-20210524-WA0000.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpmQBXqv0EatY42PsCDaFhhP1v5TVYPeyPcUu2aTvTNcyitAMpJDIJMxDJsuJnEzkcOjm6Q1QI-eZiq5sQplaG4-SkSdUxDargcxRDuc9NxuB6sIcFAIey9kIrruetXoeAnHpGHCq2JCyG/s72-w640-c-h480/IMG-20210524-WA0000.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-yawasili-mwanza-kuwafuata-rhino.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/azam-fc-yawasili-mwanza-kuwafuata-rhino.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy