waandamana wakiwa uchi Uganda Wanawake katika kijiji kimoja cha kazkazini mwa Uganda wamefanya m...
waandamana wakiwa uchi Uganda
Wanawake
katika kijiji kimoja cha kazkazini mwa Uganda wamefanya maandamano
wakiwa uchi kutokana na mgogoro wa ardhi kati ya utawala wa eneo hilo na
jamii ambao umeendelea kwa takriban miaka 10.
Wakati wa
maandamano hayo ,mawaziri wa serikali na watafiti walipanga kukata
kipande cha ardhi katika kijiji cha Apaa huko Amuru.
MaandamanoUtawala wa wanyama pori nchini Uganda unaamini kwamba watu wanavamia
ardhi ya uhifadhi wa wanyama pori huku wakaazi wakidai kwamba ardhi hiyo
ilikuwa ya mababu zao.Mwandishi wa BBC anasema kuwa
katika
kabila la Acholi ,mwanamke anapovua nguo na kusalia uchi ni zaidi ya
kupigana kwa kuwa inatoa laana kwa mpinzani wake.
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS