YANGA: TUTAFANYA VIZURI NAFASI IPO
HomeMichezo

YANGA: TUTAFANYA VIZURI NAFASI IPO

  JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa bado kuna nafasi ya kikosi chake kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara. Aprili 1...

NAMUNGO:YALITOKEA NI SOMO KWETU, TUNARUDI TANZANIA KUJIPANGA
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII
SIMBA KUIBUKA BONGO LEO,YAWAOMBA MASHABIKI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO

 


JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa bado kuna nafasi ya kikosi chake kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara.

Aprili 10 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 1-1 KMC katika mchezo wa ligi ikiwa ni mzunguko wa pili.

Mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa CCM Kirumba, ubao ulisoma KMC 1-2 Yanga na kuwafanya vinara hao wa ligi kuvuna jumla ya pounti nne kati ya sita mbele ya Wanakino Boys.

Mwambusi amesema kuwa ana matumaini na wachezaji wake kuelekea mechi zijazo watapambana na kupata matokeo.

"Kupata pointi moja mbele ya KMC sio jambo baya tunashukuru kwa kuwa tulikuwa tunahitaji pointi tatu, ila kwa kuwa kuna mechi nyingine nina amini tutafanya vizuri. 

"Kama ambavyo nilikuwa nikisema kwamba KMC huwa inakuwa bora kila inapokutana na Yanga hicho tumeshuhudia na tumeona, kikubwa ni kujipanga upya kwani ligi bado inaendelea," .

Kwenye msimamo wa ligi Yanga ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 51 baada ya kucheza mechi 24 KMC ipo nafasi ya 6 na pointi 36 baada ya kucheza mechi 25.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: TUTAFANYA VIZURI NAFASI IPO
YANGA: TUTAFANYA VIZURI NAFASI IPO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcSsutnIvyKvclIxky7ppboTdYP05sQDbRHkNvc5k-Oe0B-x_11swlGjp2MeiN5OaDNJfQgPafvXx1j-HwOYAKYMqt2phyphenhyphenqunmKylzrlcGbBhngzTSAhd1TzQypYzaWMKbkarqg2Hl34r4/w640-h432/IMG_20210412_072711_379.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcSsutnIvyKvclIxky7ppboTdYP05sQDbRHkNvc5k-Oe0B-x_11swlGjp2MeiN5OaDNJfQgPafvXx1j-HwOYAKYMqt2phyphenhyphenqunmKylzrlcGbBhngzTSAhd1TzQypYzaWMKbkarqg2Hl34r4/s72-w640-c-h432/IMG_20210412_072711_379.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-tutafanya-vizuri-nafasi-ipo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-tutafanya-vizuri-nafasi-ipo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy