HomeHabariTop Stories

Nandy Festival kupigwa leo jijini Tanga ,bureee

NANDY FESTIVAL KUPIGWA LEO   Mwimbaji Star na muanzilishi wa Tamasha la Nandy Festival, Faustina Mfinanga, (Nandy) ametangaza kufanyika kw...

Picha mbalimbali za Uzinduzi wa Treni mpya ya kisasa SGR
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 2, 2024
Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete ahimiza ufanisi uratibu wa shughuli za vijana na ajira

NANDY FESTIVAL KUPIGWA LEO

 

Mwimbaji Star na muanzilishi wa Tamasha la Nandy Festival, Faustina Mfinanga, (Nandy) ametangaza kufanyika kwa Tamasha la Nandy Festival Tanga siku ya leo Jumapili baada ya kuhairishwa kufanyika siku ya Jana iliyokuwa imetarajiwa kutokana na mvua iliyonyesha Tanga Mjini na Sababu nyingine ambazo ajazitaja..

 

Nandy Festival Tanga ilipangwa kufanyika siku ya Jana Jumamosi ikiwa na wasanii Jux, Mwana FA, Ommy Dimpoz, Chino, Yammy, Lulu Diva, Nandy, Billnass na Wengine..

 

Nandy amewaomba radhi mashabiki na kuwa taka wafike kwenye show hiyo kuanzia SAA 6 mchana na tena bila kulipa kiingilio

 

#MillardayoENT

The post Nandy Festival kupigwa leo jijini Tanga ,bureee first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/jiV2DNH
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Nandy Festival kupigwa leo jijini Tanga ,bureee
Nandy Festival kupigwa leo jijini Tanga ,bureee
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/nandy-festival-kupigwa-leo-jijini-tanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/nandy-festival-kupigwa-leo-jijini-tanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy