HomeHabariTop Stories

Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge afariki dunia

Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo alfajiri akiwa nchini India anapatiwa matibabu. Kifo cha Meja General mstaafu Mbuge...

Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo alfajiri akiwa nchini India anapatiwa matibabu.

Kifo cha Meja General mstaafu Mbuge kimethibitishwa na Mtoto wake

Octiber 12, 2024 Mbuge leo aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 aliahwa kwa kukagua gwaride rasmi la Kijeshi katika Viwanja vya Mgulani (Twalipo Admistration Unit-TAU) Jijini Dar es salaam.

Mbuge amepitia katika nafasi mbalimbali za Uongozi baadhi ni Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa Kagera, Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi ya Waziri Mkuu

The post Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge afariki dunia first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/bTpmnNF
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge afariki dunia
Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge afariki dunia
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/meja-jenerali-mstaafu-charles-mbuge.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/meja-jenerali-mstaafu-charles-mbuge.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy