GOMES ATAJA KAZI YA BOCCO, MUGALU NA KAGERE KWA YANGA
HomeMichezo

GOMES ATAJA KAZI YA BOCCO, MUGALU NA KAGERE KWA YANGA

 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amewataka washambuliaji wake watatu kuweza kufunga kwenye mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho dhidi ...


 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amewataka washambuliaji wake watatu kuweza kufunga kwenye mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.

Simba ni mabingwa watetezi wa taji hilo ambapo wanakumbuka kwamba walisepa nalo msimu uliopita baada ya kushinda mbele ya Namungo FC kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga.

Itakutana na Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ambapo kwenye mchezo wao wa ligi uliopita ubao ulisoma Simba 0-1 Yanga ni bao la Zawad Mauya liliamua matokeo hayo.

Gomes amesema:"Tuna mchezo mgumu kwenye kombe la Shirikisho ila tupo tayari kwa ajili ya kuona kwamba tunapata matokeo kikubwa ni kila mmoja kuweza kutimiza majukumu yake.

"Kwa upande wa washambuliaji ambao wapo Bocco, (John), Mugalu, (Chris) na Kagere, (Meddie) wote ni washambuliaji wazuri na huwezi kuwaelezea kwa mmojammoja lakini ambacho ninahitaji ni kuona kwamba wanafunga.


"Tunahitaji kupata ushindi na kila mchezaji hilo anajua hivyo muhimu ni kuona mashabiki wanajitokeza kwa wingi kutupa sapoti," amesema.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Julai 25, Kigoma.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GOMES ATAJA KAZI YA BOCCO, MUGALU NA KAGERE KWA YANGA
GOMES ATAJA KAZI YA BOCCO, MUGALU NA KAGERE KWA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUnKi51ejRbPvQ4ZVGmapgEmHpe-MT26LVU5Mkx1In8ifOiE1le3fyxlSaTSo4i9bZ9RkBpscmGTXCcOA9nOrr-Wd6j-Fo9O241TYa9tlwlRgvFfX-1enyD21Mjw3tMY44S0GCXGld4SOn/w640-h478/Bocco+tenaa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUnKi51ejRbPvQ4ZVGmapgEmHpe-MT26LVU5Mkx1In8ifOiE1le3fyxlSaTSo4i9bZ9RkBpscmGTXCcOA9nOrr-Wd6j-Fo9O241TYa9tlwlRgvFfX-1enyD21Mjw3tMY44S0GCXGld4SOn/s72-w640-c-h478/Bocco+tenaa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/gomes-ataja-kazi-ya-bocco-mugalu-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/gomes-ataja-kazi-ya-bocco-mugalu-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy