BAADA ya Simba kumalizana na AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi kete yao ya mwisho ni dhidi ya Al Ahly ambao ni Waar...
BAADA ya Simba kumalizana na AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi kete yao ya mwisho ni dhidi ya Al Ahly ambao ni Waarabu wa Misri.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Simba 1-0 Al Ahly hivyo mchezo huo kwa timu hizo mbili ambazo zimetinga hatua ya robo fainali unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
AS Vita ambayo ilifungwa mabao 4-1 na Simba itamalizana na Al Merrikh iliyotoka kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na A l Ahly na hizi mbili hazijatinga hatua ya robo fainali kutoka kundi A, salamu za balozi wa Simba hizi hapa
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS