UEFA NATIONS LEAGUE NA WORLD CUP QUALIFIERS KUENDELEA LEO USIKU
HomeMichezo

UEFA NATIONS LEAGUE NA WORLD CUP QUALIFIERS KUENDELEA LEO USIKU

  Kandanda la vilabu limesimama kwa wiki 2 kupisha michezo ya Timu za Taifa. Wiki hii, nusu fainali za Uefa Nations League zitachezwa. S...

 


Kandanda la vilabu limesimama kwa wiki 2 kupisha michezo ya Timu za Taifa. Wiki hii, nusu fainali za Uefa Nations League zitachezwa. Sambamba na hilo, Mataifa yataendelea na safari ya kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Dunia 2022 kule Qatar. Meridianbet tumekuwekea mambo namna hii;

 

Italia watawaalika Hispania katika nusu fainali ya kwanza ya Uefa Nations League leo usiku. Huu ni mchezo unaozikutanisha timu ambazo zilishakutana tena kwenye hatua hii hii, mwaka huu huu kwenye mashindano ya Euro 2020. Italia ataendeleza ubabe au Hispania atapindua meza? Ifuate Odds ya 2.45 kwa Italia ukiwa na Meridianbet.


Alhamisi, Ubelgiji itachuana na Ufaransa. Timu mbili zenye viwango bora kwenye orodha ya dunia. Lukaku uso kwa uso na Benzema, wachezaji wawili ambao wapo kwenye ubora wao msimu huu. Watawapa matokeo gani mashabiki wa mataifa yao? Odds ya 3.20 ipo kwa Ubelgiji ndani ya Meridianbet.

 

Kunako michezo ya kufuzu Komba la Dunia, 2022. Uturuki kuwakaribisha Norway katika muendelezo wa kuisaka tiketi ya kwenda Qatar. Timu hizi zilionesha uwezo wao kwenye mashindano ya Euro 2020, huu ni muendelezo katika viwango vikubwa zaidi. Mdhamini shujaa wako kwa kuifuata Odds ya 2.12 kwa Uturuki kupitia Meridianbet.

 

Finland kuchuana na Ukrainejumamosi hii. Huu ni mchezo mwingine ambao unaweza kukupa faida kubwa ukichagua kubashiri na Meridianbet. Safari ya kucheza Kombe la Dunia sio nyepesi. Ifuate Odds ya 2.20 kwa Ukraine wikiendi hii.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: UEFA NATIONS LEAGUE NA WORLD CUP QUALIFIERS KUENDELEA LEO USIKU
UEFA NATIONS LEAGUE NA WORLD CUP QUALIFIERS KUENDELEA LEO USIKU
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgjSpL49X7VpXy_V_0TMNpBjwDoV3zwsua6TpQvxUb0YpSHJpzWKrYHaCKeAzalIljXZf0BrW6I150BLAGUaP_acV8V-DcAvfi8JZzPsbIeuemMaA-whltZx1vwFBsz7qlYcQfr1JZfVeoUejQaYLXdSK7isEfF90zcyfYJxLwUL96GItdeJeYxPXoSdg=w640-h426
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgjSpL49X7VpXy_V_0TMNpBjwDoV3zwsua6TpQvxUb0YpSHJpzWKrYHaCKeAzalIljXZf0BrW6I150BLAGUaP_acV8V-DcAvfi8JZzPsbIeuemMaA-whltZx1vwFBsz7qlYcQfr1JZfVeoUejQaYLXdSK7isEfF90zcyfYJxLwUL96GItdeJeYxPXoSdg=s72-w640-c-h426
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/uefa-nations-league-na-world-cup.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/uefa-nations-league-na-world-cup.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy