PIRA KODI LEO KUCHEZWA MBELE YA POLISI TANZANIA
HomeMichezo

PIRA KODI LEO KUCHEZWA MBELE YA POLISI TANZANIA

  CHRISTINA Mwagala,  Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania. ...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MABOSI SIMBA WATANGULIA BOTSWANA,WAKWEPA HUJUMA, KAZI INAENDELEA
NEYMAR JR AFIKIRIA KUSTAAFU

 


CHRISTINA Mwagala,  Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania. 


Mchezo huo wa ligi utachezwa leo Machi, 4, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Christina amesema kuwa pira kodi na spana litachezwa leo.


KMC imetoka kupenya hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho baada ya kushinda mabao 5-2 dhidi ya Kurugenzi FC, Uwanja wa Uhuru jambo ambalo linawaongezea nguvu ya kufanya vizuri. 


Baada ya kumalizana na Polisi Tanzania leo, Machi 7 kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union ya Tanga ambayo leo ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Yanba.


Christina amesema:"Tupo tayari na tunaamini kwamba tutafanya vizuri hivyo mashabiki watupe sapoti, tunaendelea kutoa pira kodi,pira mapato na pira spana ndani ya uwanja,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: PIRA KODI LEO KUCHEZWA MBELE YA POLISI TANZANIA
PIRA KODI LEO KUCHEZWA MBELE YA POLISI TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCLvXqmoEvX9r5XHLl3C0ta4ca9STezqI3X6UOLq_L2hiBJht75hTsaaLPad7qkCFSoZHwKqXZVc_4jBjpRAgzzmOBblPgtFqrbalVzvXooSeJgu8khnL_BeNUk-DATY20mdgCwa21Cf9N/w640-h426/IMG_20210304_055958_088.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCLvXqmoEvX9r5XHLl3C0ta4ca9STezqI3X6UOLq_L2hiBJht75hTsaaLPad7qkCFSoZHwKqXZVc_4jBjpRAgzzmOBblPgtFqrbalVzvXooSeJgu8khnL_BeNUk-DATY20mdgCwa21Cf9N/s72-w640-c-h426/IMG_20210304_055958_088.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/pira-kodi-leo-kuchezwa-mbele-ya-polisi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/pira-kodi-leo-kuchezwa-mbele-ya-polisi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy