UKWELI KUHUSU MOHAMED HUSSEIN KUSAINI SIMBA NA ISHU YA YANGA YAWEKWA WAZI
HomeMichezo

UKWELI KUHUSU MOHAMED HUSSEIN KUSAINI SIMBA NA ISHU YA YANGA YAWEKWA WAZI

 HERRY Mzozo, meneja wa beki wa kushoto wa Simba, Mhaomed Hussein amesema kuwa mteja wake bado hajasaini mkataba na timu yake hiyo inayono...

YANGA KUIFUATA JKT TANZANIA KWA TAHADHARI LEO
YANGA PRINCESS YAICHAPA MABAO 6-0 ALLIANCE GIRLS
COASTAL UNION YAPOTEZA POINTI TATU MBELE YA POLISI TANZANIA

 HERRY Mzozo, meneja wa beki wa kushoto wa Simba, Mhaomed Hussein amesema kuwa mteja wake bado hajasaini mkataba na timu yake hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes.

Imekuwa ikielezwa kuwa Mohamed ambaye ni nahodha msaidizi amewekwa kwenye rada za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji kuongeza nguvu kwenye kikosi chao.

Meneja huyo amesema:"Mohammed hajasaini Simba kwa sasa ila ipo wazi mkataba wake umebakiza miezi miwili hivyo ikiisha hapo tutajua atabaki Simba ama atarudi Kagera Sugar.

"Ni mchezaji mzuri ambaye anafuatiliwa na wengi hivyo nina amini kwamba kipaumbele cha kwanza kwetu sisi ni timu yake ya Simba kisha mengine yatafuata.

"Unajua kwa hatua ambayo Simba imefika na yeye kucheza mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika wengi wamemuona na wanatambua uwezo wake, kuhusu yeye kwenda Yanga, hakuna ofa niliyopokea," amesema.

Kwenye hatua ya makundi,Simba ikitinga hatua ya robo fainali Mohamed amecheza mechi zote sita za ushindani alianza kikosi cha kwanza.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: UKWELI KUHUSU MOHAMED HUSSEIN KUSAINI SIMBA NA ISHU YA YANGA YAWEKWA WAZI
UKWELI KUHUSU MOHAMED HUSSEIN KUSAINI SIMBA NA ISHU YA YANGA YAWEKWA WAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiByJePNiGPi3Vg1hqJdeSll36bicrrqzOBWcxj8Nwbyv8EP9lln4BU_CRaYqHvuj0MVNV7IhzhItwDudNlRs2YmAiHfmHKsLdoXv8uD5i63FbCtcQz4ODANHSm7Pj0pfZni6YnX_amltds/w640-h640/tshabalala-1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiByJePNiGPi3Vg1hqJdeSll36bicrrqzOBWcxj8Nwbyv8EP9lln4BU_CRaYqHvuj0MVNV7IhzhItwDudNlRs2YmAiHfmHKsLdoXv8uD5i63FbCtcQz4ODANHSm7Pj0pfZni6YnX_amltds/s72-w640-c-h640/tshabalala-1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/ukweli-kuhusu-mohamed-hussein-kusaini.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/ukweli-kuhusu-mohamed-hussein-kusaini.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy