Bayern Munich Yaiadhibu Shakhtar Donetsk kwa kipigo cha 7-0
HomeMichezoKimataifa

Bayern Munich Yaiadhibu Shakhtar Donetsk kwa kipigo cha 7-0

  Mabingwa watetezi wa klabu Bingwa barani Ulaya, Klabu ya Bayern Munich usiku huu wamefanikiwa kusonga mbele katika michuano hiyo baad...

Zuio:Magari ya Tanzania Jomo Kenyatta
Boston Marathon bombing trial begins with jury selection
Mourinho aomba radhi kumkosoa mwamuzi




 
Mabingwa watetezi wa klabu Bingwa barani Ulaya, Klabu ya Bayern Munich usiku huu wamefanikiwa kusonga mbele katika michuano hiyo baada ya kuwafumua Shakhtar Donetsk kwa jumla ya mabao 7-0.

Mabao ya Bayern Munich yametupiwa kambani na Müller katika Dakika ya 4 kwa mkwaju wa penati ikiwa ni bao la kwanza kabla ya dakika ya 51 ya mchezo huo kuiandikia timu yake bao la nne.

Naye Boateng aliiandikia timu yake bao la pili katika dakika ya 34, Ribéry akifunga goli la tatu katika dakika ya 49, Badstuber alifunga bao la tano katika Dakika ya 63, Lewandowski akitupia la sita kunako dakika ya 75 kabla ya Götze kumaliza kazi kwa kufunga bao la saba katika dakika ya 87.

Hadi mwamuzi anapuliza kipenga cha mwisho Bayern Munich wamefanikiwa kuondoka kifua mbele kwa jumla ya mabao 7-0.

Kwa matokeo hayo sasa Wajermani hao wanakuwa wametinga katika hatua ya Robo fainali ya Klabu bingwa Ulaya kwa ushindi huo mnono. 
Thomas Muller akifunga bao lake usiku huu.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Bayern Munich Yaiadhibu Shakhtar Donetsk kwa kipigo cha 7-0
Bayern Munich Yaiadhibu Shakhtar Donetsk kwa kipigo cha 7-0
http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/bayern-munich-celebration_3275483.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/bayern-munich-yaiadhibu-shakhtar.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/bayern-munich-yaiadhibu-shakhtar.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy