NYOTA HAWA WAWILI WA YANGA KUKOSEKANA KESHO MBELE YA GWAMBINA FC
HomeMichezo

NYOTA HAWA WAWILI WA YANGA KUKOSEKANA KESHO MBELE YA GWAMBINA FC

 NYOTA wawili wa Yanga kesho wanatarajiwa kukosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Gwambina FC utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. Ny...

GOMES ATAJA MAJEMBE YAKE YANAYOMPA JEURI UWANJANI
VIDEO: SIMBA V YANGA SASA NI TOFAUTI, METACHA, LAMINE WAZUA MAPYA
MDOGO WA MBAPPE ASAINI NDANI YA PSG

 NYOTA wawili wa Yanga kesho wanatarajiwa kukosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Gwambina FC utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.

Nyota hao ni pamoja na beki Yassin Mustapha pamoja na Mapinduzi Balama aambao hawa walikosekana pia kwenye mchezo dhidi ya Biashara United kutokana na kuwa ni majeruhi.

Licha ya kwamba maendeleo yao kwa sasa ni mazuri bado hawajatengamaa kuweza kurejea kwenye mechi za ushindani.

Yanga ikiwa nafasi ya kwanza na pointi zake 54 inakutana na Gwambina FC iliyo nafasi ya 12 na pointi zake ni 30. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA HAWA WAWILI WA YANGA KUKOSEKANA KESHO MBELE YA GWAMBINA FC
NYOTA HAWA WAWILI WA YANGA KUKOSEKANA KESHO MBELE YA GWAMBINA FC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi13YAPGrz4R4271Ta4_PeismoWhSd1GVN5Pkpmk9nqAG7No06IZXg3r-wSNmqvAPKrnytewQa3zlnlacyXosVtiplFTcMQi6NdXgOrU2wbR7IlOsXjatvZ9ickYKNDhF0CXhw-4LL0MXaA/w640-h566/Yasin+Mustapha+Yanga.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi13YAPGrz4R4271Ta4_PeismoWhSd1GVN5Pkpmk9nqAG7No06IZXg3r-wSNmqvAPKrnytewQa3zlnlacyXosVtiplFTcMQi6NdXgOrU2wbR7IlOsXjatvZ9ickYKNDhF0CXhw-4LL0MXaA/s72-w640-c-h566/Yasin+Mustapha+Yanga.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/nyota-hawa-wawili-wa-yanga-kukosekana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/nyota-hawa-wawili-wa-yanga-kukosekana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy