Wadau wapongeza BOT kwa kudhibiti wanaokiuka taratibu za kifedha
HomeHabariTop Stories

Wadau wapongeza BOT kwa kudhibiti wanaokiuka taratibu za kifedha

Benki ya biashara ya Mkombozi leo Novemba 25,2024 imezindua huduma yake mpya ya wakala wa kimkakati Ili kuwa karibu zaidi ya na wateja wake....

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 24, 2024
Mwanamke afariki baada ya kuchomwa moto kwenye treni ya chini ya ardhi
Madiwani Nanyamba wajifunza mbinu za kisasa za usimamizi wa miradi jijini Mwanza

Benki ya biashara ya Mkombozi leo Novemba 25,2024 imezindua huduma yake mpya ya wakala wa kimkakati Ili kuwa karibu zaidi ya na wateja wake.

Akizungumza kabla ya uzinduzi huo, Padre Dennis Wigira Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yosefu Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam ambaye alimuwakilisha Askofu Mkuu wa Jimbo Hilo Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi katika hafla hiyo amesema anaamini katika weledi wa wahudumu wa benki hiyo na kuwasihi kuongeza juhudi kufikia wateja mbali mbali.

“Watu wanapenda Watendaji waaminifu, wateja wanapenda huduma zinazofuata taratibu za kibenki na hivi katika kutunza weledi huo tuwe na Hofu na Mwenyezi Mungu juu ya huduma za kibenki kwa njia ya Mkato na hizo njia za mkato ndio zilizo angusha Taasisi za fedha au zimepoteza sifa nzuri na mbaya zaidi kama kanisa linapoteza sifa nzuri katika huduma za kifedha”.

Pia wamewashukuru mamlaka inayosimamaia bank (BOT) kwa kuweza kutoa idhini kwa mabank kutoa huduma za mawakala, kwani huduma hii inasaidia katika kukuza uchumi kwa kuifikia jamii kwa urahisi.

The post Wadau wapongeza BOT kwa kudhibiti wanaokiuka taratibu za kifedha first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/Vopensv
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wadau wapongeza BOT kwa kudhibiti wanaokiuka taratibu za kifedha
Wadau wapongeza BOT kwa kudhibiti wanaokiuka taratibu za kifedha
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/11/IMG-20241127-WA0062-950x634.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/wadau-wapongeza-bot-kwa-kudhibiti.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/11/wadau-wapongeza-bot-kwa-kudhibiti.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy