LEO Februari 23 kikosi cha Simba kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua...
LEO Februari 23 kikosi cha Simba kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.
Mchezo huo wa kundi A unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00 jioni.
Hiki hapa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambacho kinapewa nafasi ya kuweza kuanza mbele ya Al Ahly kusaka pointi tatu muhimu:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Pascal Wawa
Joash Onyango
Taddeo Lwanga
Luis Miqussone
Mzamiru Yassin
Meddie Kagere
Rarrry Bwalya
Clatous Chama
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS