GOMES ATAJA MAJEMBE YAKE YANAYOMPA JEURI UWANJANI
HomeMichezo

GOMES ATAJA MAJEMBE YAKE YANAYOMPA JEURI UWANJANI

  K OCHA Mkuu wa  Simba, Didier  Gomes amefunguka  kuwa siri kubwa  ya ubora kikosi chake katika  kuchezea mpira inatokana  na balansi inay...

 

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amefunguka kuwa siri kubwa ya ubora kikosi chake katika kuchezea mpira inatokana na balansi inayoletwa na matumizi ya viungo wawili wakabaji, kulinganisha na wanapotumia kiungo mmoja pekee.

Ndani ya kikosi cha Simba, Gomes amekuwa akiwatumia zaidi Taddeo Lwanga na Mzamiru Yassin kama pacha ya viungo wakabaji ndani ya kikosi chake katika michezo mingi, hali inayowapa urahisi viungo wa juu wa Simba kuwa na wakati mzuri wa kuchezea mpira.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Gomes alisema: â€œTumekuwa tukitumia mifumo mbalimbali kuendana na wapinzani ambao tunakutana nao, lakini naweza kusema kikosi chetu kinakuwa na balansi kubwa na kucheza vizuri zaidi iwapo tunacheza na viungo wawili wakabaji.


“Lakini kuna wakati tunalazimika kujitoa mhanga kwa kutumia kiungo mmoja pekee hasa tunapotumia mfumo wa 3-5-2, kama ambavyo tulicheza dhidi ya Mbeya City," .


Mchezo ujao wa Simba ni dhidi ya Yanga unatarajiwa kuchezwa Julai 3, Uwanja wa Mkapa saa 11:00 jioni.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GOMES ATAJA MAJEMBE YAKE YANAYOMPA JEURI UWANJANI
GOMES ATAJA MAJEMBE YAKE YANAYOMPA JEURI UWANJANI
https://i1.wp.com/globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/06/Lwanga.jpg?resize=1024%2C576&ssl=1
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/gomes-ataja-majembe-yake-yanayompa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/gomes-ataja-majembe-yake-yanayompa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy