MAJEMBE HAYA YA KAZI YAMPA JEURI KOCHA YANGA
HomeMichezo

MAJEMBE HAYA YA KAZI YAMPA JEURI KOCHA YANGA

  K OCHA Mkuu wa  Yanga, Juma  Mwambusi,  amesema kuwa  kama atawapata  wachezaji wake  wote waliokwenda  kuzitumikia timu  zao za taifa w...

SIMBA YALIA NA ISHU YA VIWANJA KUSHINDWA KUWA RAFIKI KWAO
SIMULIZI YA ALIYEKUWA ANASUMBULIWA NA NDOTO MBAYA USIKU
VIDEO:GOMES APIGA HESABU KUHUSU WAPINZANI WAKE,MASHABIKI WAMZUNGUKA

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kuwa kama atawapata wachezaji wake wote waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa wakiwa salama akiwemo staa Saido Ntibazonkiza na Mukoko Tonombe basi anaamini wataisaidia timu hiyo katika michezo yao inayofuata ya ligi.

 

Wachezaji wa Yanga ambao walikwenda kuzitumikia timu zao za taifa ni pamoja na Saido Ntibazonkiza (Burundi), Tonombe Mukoko (Congo) na Haruna Niyonzima (Rwanda), Feisal Salum, Bakari Mwamnyeto na Deus Kaseke wote kutoka Tanzania.


Mwambusi amesema kuwa, hali ya kikosi chake kilichopo kambini ipo sawa kwa wachezaji waliosalia kambini huku akisema kuwa ana matumaini na wachezaji walioenda kuzitumikia timu za taifa wakiwemo Saido, Mukoko Tonombe.


Anaamini kuwa ikiwa watarejea wakiwa wataisadia Yanga katika michezo inayofuata ya Kombe la Shirikisho na ligi kuu.

 

“Hali ya wachezaji wetu kambini ni nzuri, wachezaji wanaonyesha kufurahia mazoezi, wanajituma tayari kwa ajili ya maandalizi ya michezo yetu ijayo ya Kombe la Shirikisho na ligi kuu.

 

“Kwa wale wachezaji ambao walienda kuyatumikia mataifa yao, kiu yetu ni kuona kuwa wanarejea wakiwa salama kwani watatusaidia sana katika michezo yetu ijayo, unafahamu kuna kipindi timu ilikuwa na majeraha kwa wachezaji muhimu hivyo hatutamani kuona likitokea tena,” alisema kocha Mwambusi.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAJEMBE HAYA YA KAZI YAMPA JEURI KOCHA YANGA
MAJEMBE HAYA YA KAZI YAMPA JEURI KOCHA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjs95ZtYSuTJRdU_YMx01VaDUH0PtKQu7n5hCJcAu5AHx7pJnICX05RF6QiXhbLtF7j37A_Yg_394xm9qw2V4M2sAdc77LpStyFyjjxGnjCysvX5whsO3REML46sdsm_fS5DjK5EMrNwM00/w640-h610/Saido+Arusha.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjs95ZtYSuTJRdU_YMx01VaDUH0PtKQu7n5hCJcAu5AHx7pJnICX05RF6QiXhbLtF7j37A_Yg_394xm9qw2V4M2sAdc77LpStyFyjjxGnjCysvX5whsO3REML46sdsm_fS5DjK5EMrNwM00/s72-w640-c-h610/Saido+Arusha.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/majembe-haya-ya-kazi-yampa-jeuri-kocha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/majembe-haya-ya-kazi-yampa-jeuri-kocha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy