Hii ndio baiskeli kubwa zaidi duniani kuwahi kutokea imetengenezwa huko nchini denmark na huyo mzee imeingia katika Guiness Wor...
Hii
ndio baiskeli kubwa zaidi duniani kuwahi kutokea imetengenezwa huko
nchini denmark na huyo mzee imeingia katika Guiness World Record 2014.
Pikipiki
kubwa zaidi Duniani, imetengenezwa huko inchini Marekani lakini bado
haidaanza kuwa na uwezo wa kutembea ila imeingia katika Guiness World
Record 2014.
.jpg)
Huyu Jamaa ameingia kwenye Guiness World Record 2014 ya mwaka huu kwa kula pilipili kali 5000 ndani ya saa moja, ni mmarekani.
COMMENTS