SIMBA YAVUNJA REKODI YAKE ILIYOWEKA KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA
HomeMichezo

SIMBA YAVUNJA REKODI YAKE ILIYOWEKA KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  KLABU ya Simba imevunja rekodi yake kwenye mashindano yanayoandaliwa na Kombe la Shirikisho Afrika, (Caf) kwa kuvunja rekodi kwenye hat...

MORRISON AWAFANYIA MAZOEZI MAALUMU MABOSI WAKE WA ZAMANI
OGOPA MATAPELI DUBE HAUZWI KABISA
BREAKING: SHOMARI KAPOMBE ASAINI MKATABA MPYA SIMBA

 


KLABU ya Simba imevunja rekodi yake kwenye mashindano yanayoandaliwa na Kombe la Shirikisho Afrika, (Caf) kwa kuvunja rekodi kwenye hatua za makundi baada ya mechi nne.

Msimu wa 2018/19 ikiwa chini ya Patrick Aussems wengi wanapenda kumuita Uchebe baada ya kucheza mechi 4, ilishinda mbili na kupoteza mbili bila kuambulia sare. Msimu huu wa 2020/21 imeipindua kwa kushinda mechi tatu na kuambulia sare moja.

Kwa upande wa mabao ya kufunga msimu wa 2018/19 ilifunga mabao manne na msimu huu wa 2020/21 imefunga jumla ya mabao matano.

Pia ilikusanya mzigo wa mabao 10 baada ya mechi nne ila msimu huu baada ya mechi nne ukuta wao haujaokota bao nyavuni ambapo una clean sheet nne tofauti na msimu wa 2018/19 ilipokuwa na clean sheet mbili na ilikuwa nafasi ya 2 na pointi 6 ila msimu huu ipo nafasi ya kwanza na pointi zake ni 10.

Didier Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa wakipambana muda wote jambo linalowapa matokeo chanya.

"Wachezaji wanajua majukumu yao na muda wote nimekuwa nikiwaambia kwamba wanapaswa kutimiza kile ambacho tunakihitaji, bado tuna kazi ya kufanya mashabiki wazidi kutupa sapoti," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAVUNJA REKODI YAKE ILIYOWEKA KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA
SIMBA YAVUNJA REKODI YAKE ILIYOWEKA KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEie4WKAeYVRd7CS5GC7oZe-MZD-qZPdYh61glwDx49YEPMMkqeOTlgyk8PsHd6kOMYQcdtaJHSvci6StYcgiQhToiMzhghXB49tjJJ4M7qU4n3n43NGJ5nJ9jurEeSbCgAX7CFhagQzKC9O/w640-h366/aussems.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEie4WKAeYVRd7CS5GC7oZe-MZD-qZPdYh61glwDx49YEPMMkqeOTlgyk8PsHd6kOMYQcdtaJHSvci6StYcgiQhToiMzhghXB49tjJJ4M7qU4n3n43NGJ5nJ9jurEeSbCgAX7CFhagQzKC9O/s72-w640-c-h366/aussems.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-yavunja-rekodi-yake-iliyoweka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-yavunja-rekodi-yake-iliyoweka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy