BREAKING: SHOMARI KAPOMBE ASAINI MKATABA MPYA SIMBA
HomeMichezo

BREAKING: SHOMARI KAPOMBE ASAINI MKATABA MPYA SIMBA

  BREAKING: Beki wa pembeni wa Simba, Shomari Kapombe amesaini dili jipya baada ya kukubaliana na uongozi kuongeza mkataba. Beki huyo mz...

 


BREAKING: Beki wa pembeni wa Simba, Shomari Kapombe amesaini dili jipya baada ya kukubaliana na uongozi kuongeza mkataba.
Beki huyo mzawa chaguo namba moja la Kocha Mkuu, Didier Gomes mkataba wake ulikuwa unafika ukingoni mwishoni mwa msimu wa 2020/21.

Alikuwa anatajwa kuingia rada za FAR Rabat ya Morocco pamoja na timu nyingine nchini Afrika Kusini ambazo zilikuwa zinahitaji saini yake.

Baada ya makubaliano mazuri na mabosi wake wa sasa nyota huyo amesaini dili jipya na inaelezwa ni kandarasi ya miaka miwili.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BREAKING: SHOMARI KAPOMBE ASAINI MKATABA MPYA SIMBA
BREAKING: SHOMARI KAPOMBE ASAINI MKATABA MPYA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVa_SdfF-Tw1vhTPPJFDHhhwlMOHSFtqAht6plED0PqvcMvhQJIdriyqtXPnG_IJZOl_2QE3_UGFKevUhKSsE5bONxD_xqHqYf3exwZYSJHO8M3yMN6Imeyrxw4wUX1aflFAsJJFTelCQ7/w640-h410/IMG_20210430_074808_780.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVa_SdfF-Tw1vhTPPJFDHhhwlMOHSFtqAht6plED0PqvcMvhQJIdriyqtXPnG_IJZOl_2QE3_UGFKevUhKSsE5bONxD_xqHqYf3exwZYSJHO8M3yMN6Imeyrxw4wUX1aflFAsJJFTelCQ7/s72-w640-c-h410/IMG_20210430_074808_780.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/breaking-shomari-kapombe-asaini-mkataba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/breaking-shomari-kapombe-asaini-mkataba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy