BARBARA: UWEKEZAJI WA KWELI UNALETA MAFANIKIO KWENYE SOKA
HomeMichezo

BARBARA: UWEKEZAJI WA KWELI UNALETA MAFANIKIO KWENYE SOKA

  MTENDAJI Mkuu wa Simba, mwanadada Barbara Gonzalez amefunguka kuwa jambo pekee ambalo linaweza kuleta mafanikio kwenye soka ni uwekezaji...

WATATU WA STARS HATIHATI KUIKOSA MALAWI JUNI 13
VIDEO: ISHU YA MANYAMA KUSAINI SIMBA RUVU SHOOTING YABAINISHA UKWELI
BEN WHITE AINGAI ANGA ZA ARSENAL

 MTENDAJI Mkuu wa Simba, mwanadada Barbara Gonzalez amefunguka kuwa jambo pekee ambalo linaweza kuleta mafanikio kwenye soka ni uwekezaji wa kweli.

 

Barbara alieleza kuwa mpira wa sasa unahitaji uwekeze fedha ya kutosha kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo kwenye kununua wachezaji na kufanya maandalizi ya kina kwenye kila mchezo na mashindano makubwa kwa madogo.

 

Akizungumza kwa namna ambavyo Simba wanatisha msimu huu hasa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Barbara alifunguka: -“Ukiwekeza kwenye soka unafanikiwa kirahisi kabisa bila hata wasiwasi. Hakuna ujanjaujanja kwenye soka.


“Ili uweze kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa lazima uwe na kikosi chenye wachezaji bora na kocha mwenye viwango vikubwa, ndicho ambacho sisi tunafanya, tumewekeza fedha kwa wachezaji na tunapata mafanikio.”


Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, ikiwa ipo hatua ya makundi, Simba inaongoza ligi ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 6.


Imecheza mechi mbili na kufunga jumla ya mabao mawili ilikuwa mbele ya AS Vita 0-1 Simba na Simba 1-0 Al Ahly.


Kesho inamchezo dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Mkapa mchezo wa ligi mzunguko wa pili.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BARBARA: UWEKEZAJI WA KWELI UNALETA MAFANIKIO KWENYE SOKA
BARBARA: UWEKEZAJI WA KWELI UNALETA MAFANIKIO KWENYE SOKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyFf9IdRDcbG_sZEGJboJG77bo0W2tPnMTmnCiWjXy9Rl84PxgAf3bbnCKLKifZcwQViUVeqyX4rls85eLYdRYNqIfUTiivpepW8VB7zVfB_KJKFZ3rTzgAG1GyWO98M93rVXediia-Nh6/w640-h530/Gonzalez.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyFf9IdRDcbG_sZEGJboJG77bo0W2tPnMTmnCiWjXy9Rl84PxgAf3bbnCKLKifZcwQViUVeqyX4rls85eLYdRYNqIfUTiivpepW8VB7zVfB_KJKFZ3rTzgAG1GyWO98M93rVXediia-Nh6/s72-w640-c-h530/Gonzalez.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/barbara-uwekezaji-wa-kweli-unaleta.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/barbara-uwekezaji-wa-kweli-unaleta.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy