MICHAEL SARPONG ANAPENDA KUFUNGA
HomeMichezo

MICHAEL SARPONG ANAPENDA KUFUNGA

  MICHAEL Sarpong, mshambuliaji wa Klabu ya Yanga amesema kuwa kitu ambacho anakipenda kukifanya akiwa uwanjani ni kufunga mabao kwa ajil...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MICHAEL OWEN NA MABAO YAKE 163
DUH! KUMBE HAJI MANARA HAJAWAHI KUWA SIMBA

 


MICHAEL Sarpong, mshambuliaji wa Klabu ya Yanga amesema kuwa kitu ambacho anakipenda kukifanya akiwa uwanjani ni kufunga mabao kwa ajili ya timu yake.

Nyota huyo raia wa Ghana ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga kilicho chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mwambusi aliyechukua mikoba ya Cedric Kaze aliyefutwa kazi Machi 7.

Aliibuka Yanga akitokea Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda na kusaini dili la miaka miwili kuwatumikia Wanajangwani.

Yanga ikiwa imetupia jumla ya mabao 36  kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi 23 amehusika katika mabao matano ambapo amefunga mabao manne na kutoa pasi moja ya bao.

Sarpong amesema:-"Nikiwa uwanjani ninapenda kufunga na kuipa ushindi timu yangu hakuna jambo jingine ambalo huwa ninapenda. Ikitokea nikashindwa basi nitatengeneza nafasi kwa mwenzangu.

"Ukweli ni kwamba mashabiki wanapenda kuona timu ikishinda hilo ninalijua hata mwalimu pia amekuwa akituambia suala hilo, imani yangu nitafanya hivyo katika mechi zetu zijazo," .

Sarpong katika mabao hayo manne bao moja alifunga kwa mkwaju wa penalti ambapo ilikuwa Uwanja wa Mkapa na alimtungua kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MICHAEL SARPONG ANAPENDA KUFUNGA
MICHAEL SARPONG ANAPENDA KUFUNGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5XZzJv3WPKz_SXilkhElz9jM6FE_PUS3MopJW_Zxb7QEC3aqJwq1YcG0pUM4OieczTcVtwzMHCycBCoomt2G7-HBhS4icT3VkdDEvUBsjukqccvInLLKpAjSFJJX1P-jE-o1LYdkgMhLI/w640-h640/IMG_20210331_062834_567.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg5XZzJv3WPKz_SXilkhElz9jM6FE_PUS3MopJW_Zxb7QEC3aqJwq1YcG0pUM4OieczTcVtwzMHCycBCoomt2G7-HBhS4icT3VkdDEvUBsjukqccvInLLKpAjSFJJX1P-jE-o1LYdkgMhLI/s72-w640-c-h640/IMG_20210331_062834_567.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/michael-sarpong-anapenda-kufunga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/michael-sarpong-anapenda-kufunga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy