Mganga Mkuu Wa Serikali Ahimiza Watumishi Wa Afya Kufanya Kazi Kwa Bidii
HomeHabari

Mganga Mkuu Wa Serikali Ahimiza Watumishi Wa Afya Kufanya Kazi Kwa Bidii

Na.WAMJW-Kibaha Mganga Mkuu wa Serikali Dkt.Aifelo Sichalwe amewataka watumishi wa sekta ya afya nchini kufanya kazi kwa bidii ili kuwez...

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili :TCAA, BAKITA, CBE, NCT, MPRU, ATC, UDOM, STAMICO, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Wizara ya Maliasili na Utalii & Ofisi ya Waziri Mkuu
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili TALIRI, DUCE, LATRA, MNH, TICD, NIT & WI
Wanafunzi 3,404 Kuanza Kidato Cha Kwanza Kwa Awamu Moja Mkalama


Na.WAMJW-Kibaha
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt.Aifelo Sichalwe amewataka watumishi wa sekta ya afya nchini kufanya kazi kwa bidii ili kuweza kutimiza lengo la Serikali la kutoa matibabu bora na kwa wakati kwa wananchi wake.

Dkt.Sichalwe ametoa kauli hiyo alipokuwa anazungumza na watumishi wa afya wa hospitali ya Rufaa ya Tumbi mkoani Pwani mara baada ya kutembelea hospitalini hapo lengo ikiwa ni kukagua miundombinu na utayari wa  hospitali Katika kukabiliana na Magonjwa ya mlipuko ikiwemo Corona.

Dkt.Sichalwe amefikia hatua hiyo ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais na Viongozi wa wizara ya afya katika kuhakikisha tahadhari ya kutosha inachukuliwa ili kuhakikisha Tanzania imejipanga kukabiliana na wimbi la tatu la Virusi Vya Corona.

Ili kuendelea kujikinga na Magonjwa hayo Mganga Mkuu huyo aliutaka uongozi wa hospitali hiyo kuhakikisha wanaweka vipukusi mkono(Sanitaizer) au Maji safi na Sabuni milangoni na kwenye mawodi sambamba na uvaaji wa Barakoa kwa kila aingiaye ndani ya hospitali.

Naye Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani Dkt.Gunini Kamba alisema wameyapokea maagizo hayo kutoka serikalini na atahakikisha hatua za haraka zinaanza kuchukulia huku akimuhakikishia Mganga Mkuu wa Serikali kuendelea kusimamia nidhamu na maadili kwa watumishi ili kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya katika hospitali hiyo.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mganga Mkuu Wa Serikali Ahimiza Watumishi Wa Afya Kufanya Kazi Kwa Bidii
Mganga Mkuu Wa Serikali Ahimiza Watumishi Wa Afya Kufanya Kazi Kwa Bidii
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDKywD94IqhGYKgFyvm93er1nWtfhr7hL5i2R4jeW2U-1vFJcwYe6BQ6oppu93pxf1hCQ1XPG0kobR43D6a1irZzdxlYFLi0_5FZdeI8u_Z8Cd_e_oGh33V6CU5JBFGWHDqqDboO41SnEN/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDKywD94IqhGYKgFyvm93er1nWtfhr7hL5i2R4jeW2U-1vFJcwYe6BQ6oppu93pxf1hCQ1XPG0kobR43D6a1irZzdxlYFLi0_5FZdeI8u_Z8Cd_e_oGh33V6CU5JBFGWHDqqDboO41SnEN/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mganga-mkuu-wa-serikali-ahimiza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mganga-mkuu-wa-serikali-ahimiza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy