MFARANSA WA SIMBA AFICHUA KINACHOWABEBA KIMATAIFA
HomeMichezo

MFARANSA WA SIMBA AFICHUA KINACHOWABEBA KIMATAIFA

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kikubwa ambacho kinawapa nguvu ya kuamini kwamba watapata matokeo mbele ya AS Vita ni pamoj...

TFF NA TBC YAINGIA MKATABA WA MIAKA 10 KWA MATANGAZO
DIDIER GOMES ANA OFA NNE MKONONI, HATMA YAKE SIMBA IPO HIVI
MGORE AMALIZA MKATABA BIASHARA UNITED, RUKSA KUJIUNGA NA TIMU NYINGINE

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kikubwa ambacho kinawapa nguvu ya kuamini kwamba watapata matokeo mbele ya AS Vita ni pamoja na hali ya kujiamini na maandalizi mazuri.

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kumenyana na AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Aprili 3, Uwanja wa Mkapa.

 Mfaransa huyo ameongeza kwamba kuchukulia siriazi na kujiamini katika mechi zao ndiyo kitu ambacho kimekuwa kikiwabeba na kuifanya timu hiyo kutopoteza mechi yoyote hadi sasa katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Simba ni vinara wa Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika watakuwa uwanjani kupambana na Vita katika mechi ambayo Simba wakitoa sare tu watajihakikishia nafasi ya kwenda hatua ya robo fainali, lakini Vita wanahitaji ushindi tu ili wafufue matumaini yao ya kutinga robo fainali.

 

 Gomes amesema kwamba kila mechi ambayo wamekuwa wakiicheza katika hatua hiyo wamekuwa wakiamini kwamba wanaweza kupata matokeo na hiyo imekuwa msaada mkubwa kwao.

 

"Mchezo wetu ujao dhidi ya AS Vita ni muhimu kwetu kushinda kwani tunahitaji pointi tatu ili kufikia malengo ambayo tumejiwekea.


“Tuko siriazi kwenye kila mechi ya hatua hii kwa ajili ya kuwa bora zaidi baadaye. Tunajiamini kwenye kila mechi kwamba tuna uwezo wa kufanya vizuri na mara zote imekuwa ikitokea hali hiyo.”


Gomes ameanza maandalizi na baadhi ya wachezaji wake ambao hawakuitwa kwenye timu zao za taifa katika viwanja vya Simba Mo Arena maeneo ya Bunju ikiwa ni pamoja na Bernard Morrison, Chris Mugalu, Ibrahim Ajibu, Miraj Athuman.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MFARANSA WA SIMBA AFICHUA KINACHOWABEBA KIMATAIFA
MFARANSA WA SIMBA AFICHUA KINACHOWABEBA KIMATAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPZaBmusF4K19g7nvlHZgLKBY3J4qmNx5x-Vv4lGZXw5IxuSGbnbrEinFboJKSkeWqZK5AeBTF9RJsP-EWivAQiR-fHa4Wo8wpQwyC4SpUe5UCVacNasihCRe7wt5EsE0ghyzIN5KOIeNG/w640-h546/bm+sasa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPZaBmusF4K19g7nvlHZgLKBY3J4qmNx5x-Vv4lGZXw5IxuSGbnbrEinFboJKSkeWqZK5AeBTF9RJsP-EWivAQiR-fHa4Wo8wpQwyC4SpUe5UCVacNasihCRe7wt5EsE0ghyzIN5KOIeNG/s72-w640-c-h546/bm+sasa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mfaransa-wa-simba-afichua-kinachowabeba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mfaransa-wa-simba-afichua-kinachowabeba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy