Watu Sita Wafariki Kwa Ajali Arusha,wanne Wajeruhiwa.
HomeHabari

Watu Sita Wafariki Kwa Ajali Arusha,wanne Wajeruhiwa.

  Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha Watu sita (06) wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali iliyo husisha...

 Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha
Watu sita (06) wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali iliyo husisha gari Toyota Noah kugongana na lori aina ya scania katika eneo la ALKATANI kata ya Sepeko tarafa ya Kisongo wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha katika  barabara ya Arusha Babati.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo ameseama ajaili hiyo imetokea tarehe 19.04.2022 muda wa saa nne usiku na  kuyataja magari hayo kuwa ni Toyota Noah yenye namba za usajili T.189 DFY likitokea Arusha mjini kwenda Karatu  na lori lenye namba za usajili T.250 CAA ambapo lori hilo lilikuwa linatokea makuyuni kwenda Arusha mjini.


ACP Masejo amesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva amabapo alishindwa kulimudu gari hilo na kuhamia upande mwingine wa Barabara na kusabisha kugonga gari hilo aina ya toyota Noah hiyo.Kamanda Masejo amesema kuwa Jeshi hilo linamshikilia dereva wa roli aliyesababisha ajali hiyo.

Kamanda Masejo amesema kuwa bado wanaendelea kufanya uchunguzi kufamu majina halisi ya abiri waliofariki katika ajali hiyo na amewaomba wananchi kufika katika hosptali ya rufaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru kutambua miili ya marehemu.

ACP Masejo ametoa wito kwa watumiaji wa vyombo vya moto kuwa waangalifu wakati wamatumizi ya vyombo hivyo ilikupunguza ajali ambazo zinagharimu maisha ya watu.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watu Sita Wafariki Kwa Ajali Arusha,wanne Wajeruhiwa.
Watu Sita Wafariki Kwa Ajali Arusha,wanne Wajeruhiwa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1bmkEkNR66t3nEa2pMyQq6KYdPgs8mQKN2kXyYALwxss4Ke5kk4WneG9Zb3JtQ5KEv4Lb_GTG3kLdQismEHTZMoc85c9rpnGY75OAmkXn1GCd4EgnJws8tBDwMooDxsRFIdqpPNPttbQYPr1RYu7SH_ieMbyLyQdiiUYRRfd3Iin_6pqiEq2UOEuHlg/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1bmkEkNR66t3nEa2pMyQq6KYdPgs8mQKN2kXyYALwxss4Ke5kk4WneG9Zb3JtQ5KEv4Lb_GTG3kLdQismEHTZMoc85c9rpnGY75OAmkXn1GCd4EgnJws8tBDwMooDxsRFIdqpPNPttbQYPr1RYu7SH_ieMbyLyQdiiUYRRfd3Iin_6pqiEq2UOEuHlg/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/watu-sita-wafariki-kwa-ajali.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/watu-sita-wafariki-kwa-ajali.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy