LONDON DABI LEO, TOTTENHAM YAIPIGA MKWARA ARSENAL
HomeMichezo

LONDON DABI LEO, TOTTENHAM YAIPIGA MKWARA ARSENAL

  JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur amesema kuwa haangalii chini bali anaangalia juu kwa kuwa wapinzani wake leo Arsenal ame...

VIDEO: OBREY CHIRWA MBALI NA MPIRA ANALIMA MATIKITI
VODACOM HATIHATI KUVUNJA MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI
VIDEO: KABANGU ANAYEPIGIWA HESABU NA SIMBA AFICHUA MAZUNGUMZO YAKE NA GOMES

 


JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur amesema kuwa haangalii chini bali anaangalia juu kwa kuwa wapinzani wake leo Arsenal amewaacha kwa tofauti ya pointi 7.

Leo Machi 14, Tottenham itakuwa Uwanja wa Emirates kusaka pointi tatu mbele ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. 

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 1:30 usiku na unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa timu hizo.

Hii ya leo ni London Dabi na mchezo wa kwanza Tottenham ilishinda mabao 2-0 hivyo leo Mikel Arteta vijana wake wana kazi ya kulipa kisasi.

Mourinho amesema :"Kwa sasa mimi siangalii chini ila ninaangalia juu ambapo wapo wapinzani wangu wakubwa, yule ambaye yupo chini hanipi presha kikubwa ni kuona vijana wanapambana na kupata pointi tatu,". 

Arteta amesema kuwa wapo tayari na wanaamini watafanya vizuri kwenye mchezo wao mbele ya wapinzani wao.

"Tottenham ni bora kila eneo hilo lipo wazi ila halitupi presha, vijana nimewaambia kwamba wana kazi ya kufanya uwanjani kusaka ushindi," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LONDON DABI LEO, TOTTENHAM YAIPIGA MKWARA ARSENAL
LONDON DABI LEO, TOTTENHAM YAIPIGA MKWARA ARSENAL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQS4n6sBXT7QjScUlTyuOMC4yeybiqTw6ZH-JyL1sYEqa9-wNSPO2BNA5VChkTHDjhPY_VOkPomtSuJ6bz4QIszN6VoqpBHVEXVGDZin87lwI9I96x5-fxCz2JIekAUcDvfuZtqY0GupJ9/w512-h640/IMG_20210314_104951_668.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQS4n6sBXT7QjScUlTyuOMC4yeybiqTw6ZH-JyL1sYEqa9-wNSPO2BNA5VChkTHDjhPY_VOkPomtSuJ6bz4QIszN6VoqpBHVEXVGDZin87lwI9I96x5-fxCz2JIekAUcDvfuZtqY0GupJ9/s72-w512-c-h640/IMG_20210314_104951_668.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/london-dabi-leo-tottenham-yaipiga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/london-dabi-leo-tottenham-yaipiga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy